nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,251
- 1,736
- Thread starter
-
- #21
[emoji23]wakwangu kama wako...basi nampenda balaana nampaga vizwadi.....maana ameuliahuyo...siokila siku kuwaponda hawa kina evelyn saalt...wapo wengi wametulia (nimetolea tu mfano evely kwa jinsia yake hahahah)
Mpenzi wangu hajawah kuniomba hata hela ya vocha since tumejuana tuko na almost 2 months na sijawahi kukuta simu yake inatumika usiku na mapenzi ameshanipa mara moja.
Je, hii NI ISHARA YA MAPENZ YA KWELI KWANGU?
hakika mkuu...maana mambo waziwazi mtoto kashapatahuyo bado analeta wasiwasi, ngoja amkose tumzoee sisi ndio atajua..anabahatai mi niae kamahuyo la sivyo tungemuwinda huyo tumpateNikimuona mtu yupo kwenye mahusiano halafu hajui kama mahusiano hayo ni ya kweli ama la ndiyo naamini binadamu tu tofauti.
Vtendo gan unamaanish ngono aumapenzi vitendo.
simu zinakujaje sasa
Sawathubiriathubiria kidunchu
Hahaha asante kw kunisaidia majukumPesa nampa mm na nimemnunulia simu ingine ili usione inatumika
Ww unajua ya uongo au? Hujawah kufall in love?Anaejua maana ya mapenzi ya kweli aje akusaidie
ThisWanawake wengine sio tabia yao kuomba omba, ila just because hatumii simu usiku and mmesha sex, doesn't mean ndo anamapenzi ya kweli kwako
Only way to know that is how they treat and care about you
Kweli kabisa uombwe ili iweje ajiongeze mwanaume ujue uyu anatakiwa vaa vizrKwani ukimpa bila kukuomba atairudisha? Ushaona haombi jiongeze umpe
So ni miez mingap nitabain km ni tru love kw uzoef wakoMiezi miwili ni too soon to tell