nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,251
- 1,736
Wewe ni me au keMpenz wangu hajawah kuniomb hata hela ya vocha since tumejuan tuko na almost 2months na sijawah kukuta simu yake inatumika usiku na mapenz ameshanipa mara moja.. Je hii NI ISHARA YA MAPENZ YA KWELI KWANGU??
MeWewe ni me au ke
Thanks.. She treat me wellWanawake wengine sio tabia yao kuomba omba, ila just because hatumii simu usiku and mmesha sex, doesn't mean ndo anamapenzi ya kweli kwako
Only way to know that is how they treat and care about you
Then you are halfway there, just give it a bit more time kumchunguza zaidi cause some people are good at faking things in the beginning.Thanks.. She treat me well
Madem wa siku hizi ukitega nao wanatega....Mpenzi wangu hajawah kuniomba hata hela ya vocha since tumejuana tuko na almost 2 months na sijawahi kukuta simu yake inatumika usiku na mapenzi ameshanipa mara moja.
Je, hii NI ISHARA YA MAPENZ YA KWELI KWANGU?
Sijamaanisha hivo.. Nimeuliz bcoz nilishakua na Mahusiano ya wapiga vizinga wiki moja tu unatoa elf hamsin na mapenz hayakuwah kudumu.. Sas nahc labd huyu kaanz mwanzo mzur.. Nyota njema huonekan asubuh lbdaKwa hiyo ukiombwa ela ndio kwamba hayo sio mapenzi ya kweli?
Kw hio itabid namm nisishoboke kutumia had afunguke yey au umemaanishaje??Madem wa siku hizi ukitega nao wanatega....
Ukifugulia ndio utawaelewa....
🙂 in this century? , in this city of ours?, in this economic state!?, nikimpata wa aina hyo ni ntammimba haraka sana ili nimpige lock, maana wao wanajua kuwa na mwanaume ni kumiliki ATM kadi, kuolewa ni kumiliki bank. ukiishiwa utasikia we mwanaumeWanawake wengine sio tabia yao kuomba omba, ila just because hatumii simu usiku and mmesha sex, doesn't mean ndo anamapenzi ya kweli kwako
Only way to know that is how they treat and care about you
[emoji23] [emoji23]hela zenyewe mkiombwa haumtoi
tumechoka hatutaki tena
Asante sana afande ujumbe wako nimeuelew vzrsasa si ndo vizur ili wewe ndo umfanyie suprise....umpe wewe hata kama hajakuomba meaninig utampa kwa kupanga...sio wote waombaje usiishi kwa uzoea kupigwa mizinga....usiku sio kila mtu pia....msisahau kuwa wanaojiheshimu na wamelelewa vizuri wapo na wameleleka...sio wote wana fake....so jiongeze hapo unaweza kuwa umepata mtu...ndio muda wa kuchunguza vizuri lakini usiwe na haraka
Sas ntampaje bila kuomb?? Km hatak kupewa je si ataon najikweza.. Bora nisimpe.. "omben nanyi mtapewa"Kwani ukimpa bila kukuomba atairudisha? Ushaona haombi jiongeze umpe
kama nauli tu akija kukuona....tena elfu kumi au tano..kutokanana nidhmamu yake...af mnunulie viurembo vya mkononi....Sas ntampaje bila kuomb?? Km hatak kupewa je si ataon najikweza.. Bora nisimpe.. "omben nanyi mtapewa"
wakwangu kama wako...basi nampenda balaana nampaga vizwadi.....maana ameuliahuyo...siokila siku kuwaponda hawa kina evelyn saalt...wapo wengi wametulia (nimetolea tu mfano evely kwa jinsia yake hahahah)Sas ntampaje bila kuomb?? Km hatak kupewa je si ataon najikweza.. Bora nisimpe.. "omben nanyi mtapewa"