nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,251
- 1,736
Mpenzi wangu hajawah kuniomba hata hela ya vocha since tumejuana tuko na almost 2 months na sijawahi kukuta simu yake inatumika usiku na mapenzi ameshanipa mara moja.
Je, hii ni ishara ya mapenzi ya kweli kwangu?
Je, hii ni ishara ya mapenzi ya kweli kwangu?