Habari wana JamiiForums, naomba msaada wa utambuzi wa mawe haya naweza ikawa ni mawe ya thamani, kwa sababu
1. Ni mazito tofauti na mawe ya kawaida ukubwa huo
2. Ataukiyaga yana toa chembe chembe za kung'aa sana
View attachment 1910085
View attachment 1910087
View attachment 1910088