Je Hawa ni wabarikiwa wa Jamii Forums?

Program Alert:Interview na Powerbreakfast yaahirishwa.
Mzee Mwanakijiji
Yesterday, 10:38 PM
Kwa mujibu wa Bw. Gerald, sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wake zililazimu kuahirisha mahojiano yake nami kuhusu suala hili la mafuriko na sasa tunatarajiwa kufanya siku ya Alhamisi. Poleni na samahani kwausumbufu wale wote ambao mlikuwa mnasubiria kwa hamu.

Napenda kuwataarifu kuwa nitakuwa hewani na kuzungumza na kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds FM. Kwa sasa itakuwa baada ya saa mbili za asubuhi hivi na ninatumaini tutazungumza mengi yanayohusu mustakabali wa taifa letu hasa wakati huu ambapo tunashuhudia majanga ya mafuriko n.k

Usikose, change is not what we pray or wait for, it is what we bring!
__________________
KUNA WAKATI WA KUCHUKUA MSIMAMO; NA KUNA WAKATI WA KUONESHA UONGOZI NA KULIPA GHARAMA YA YOTE MAWILI. KAMPENI YA KUCHANGIA WAHANGA WA MAFURIKO NI WAKATI KAMA HUO. M.M.
Last edited by Mzee Mwanakijiji; Today at 09:49 AM..


​
Mzee Mwanakijiji

JF Premium Member
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 17,109
Thanks: 3,318
Thanked 1,721 Times in 476 Posts


Report Post
Subscription
Show Printable Version
Email this Page
Add to Mzee Mwanakijiji's Reputation


Views: 1030


The Following 9 Users Say Thank You to Mzee Mwanakijiji For This Useful Post: bht (Today), Dark City (Today), KIWAVI (Yesterday), MtazamoWangu (Today), MwanajamiiOne (Today), Pasco (Yesterday), Sanctus Mtsimbe (Yesterday), Waberoya (Today), Wacha1 (Yesterday)
 
Kweli nyota yako inang'ara na kwa kuthibitisha hilo wasiliana nami ktk PM yangu upate ujumbe muruwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kweli nyota yako inang'ara na kwa kuthibitisha hilo wasiliana nami ktk PM yangu upate ujumbe muruwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

mie huwa siwasiliani PM wewe sema hapa hapa bwana Pengo ..
 

Mkuu star are not doing different things but they do things differently,
Ndo maana wote tunapost lkn thanks inakuja pale umepost kitu gani.
 
......Kama umevutiwa na maoni ya mtu unaweza weka thanks, kama mtu mpo mwelekeo mmoja vile vile unaweza kumpa thanks hata kama maoni yake yapo yapo tu.

.......Hivyo usiumie sana kuhusu thanks , kwanza thanks haikuongezi kitu chochote inaishia hapahapa JF.
 
 
duh.. imekuwa nongwa sasa.. yawezekana pia tunashukuru kwa kila kitu vile vile. Kushukuru ni uungwana tu. Ukijisikia hutaki kumshukuru mtu basi hubonyezi; ukiona amekuudhi kuna option ya "remove your thanks".. don't read too much kwenye haya mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…