Je hapa ilikosekana Amani au Haki?

Je hapa ilikosekana Amani au Haki?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,271
Reaction score
22,351
Wale wazee wa kujitoa ufahamu. unahamisha njaa tumboni kuleta kichwani.

Tuambieni nini kilikosekana hapa hadi kupelekea hii hali.
IMG-20261112-WA0101(1).jpg
 
Sijamalizia ile video niliposikia kaharibu mali nilijua ni ishu ndogo tu kumbe kaharibu kweli kweli hao Wachina watamfunga na pia ataonekana alikua analipwa stahiki zake zote na saini yake itapelelekwa kwa Pirato..
Mchina kafanya kosa yeye kafanya kosa zaidi ya mchina..
 
Kafanya vizuri sana..Hakuna watu washenzi kama..WACHINA. WAHINDI NA WAARABU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom