Diranqw
Senior Member
- Mar 13, 2016
- 160
- 72
Karibu mwanajamvi katika hii tafakuri tunapomalizia siku ya leo.Fikra au mawazo au mtazamo~hai ni ule wenye mwelekeo chanya zaidi,Kutoka kwenye hali duni ya kufikiri kwamba kila kitu kitaletwa sehemu ulipo na mwenzako/taasisi/serikali bila msaada wako hata wa mawazo mathalan suala la maendeleo.
Mawazo/fikra mfu ni ile ya kufikiri hasi zaidi kwa lolote unalotenda kwa maendeleo yako, ya jamii yako,hata taifa lako mfano,kujilimbikizia mali,ufisadi,uwongo,ujambazi,uhuni,kutumia madaraka yako vibaya,ukandamizaji,ubadirifu kwamba your the only you n.k.Sasa kwa kimombo wanasema! mind is governed by id{primitive},ego{searching for reality}and superego{maintaining discipline/behavior of individual}in respect to the societal norms.
Mwanajamvi,je fikra hai ni ipi kwa maendeleo ya nchi yetu?.P/se matusi siyo sehemu ya mjadala huu wa medani ya siasa na maendeleo!.