King2 JF-Expert Member Nov 16, 2011 1,277 181 Feb 13, 2012 #21 Ni kweli hawa jamaa wanakata mshahara wako nusu wakishakutaftia kazi mfano ultakiwa kulipwa laki 8 laki 4 yako wanachukua?
Ni kweli hawa jamaa wanakata mshahara wako nusu wakishakutaftia kazi mfano ultakiwa kulipwa laki 8 laki 4 yako wanachukua?
TzPride JF-Expert Member Nov 2, 2006 2,616 1,167 Feb 15, 2012 #22 Kama huna kazi waone wakupe kazi, ukipata pazuri nyanyuka....ndivyo nilivyofanya. Kweli watakula sana jasho lako....it is okay, si mjini bwana na wewe uko kwenye mawe wakati huo unategemea nini?
Kama huna kazi waone wakupe kazi, ukipata pazuri nyanyuka....ndivyo nilivyofanya. Kweli watakula sana jasho lako....it is okay, si mjini bwana na wewe uko kwenye mawe wakati huo unategemea nini?