Je Erolink ni reliable recruitment agency?

Ni kweli hawa jamaa wanakata mshahara wako nusu wakishakutaftia kazi mfano ultakiwa kulipwa laki 8 laki 4 yako wanachukua?
 
Kama huna kazi waone wakupe kazi, ukipata pazuri nyanyuka....ndivyo nilivyofanya. Kweli watakula sana jasho lako....it is okay, si mjini bwana na wewe uko kwenye mawe wakati huo unategemea nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom