Je, elimu inapoteza mda?

Je, elimu inapoteza mda?

harunimaiga

Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
26
Reaction score
47
Kuna ile point enzi za O-lever ilikuwa inasema," education consumes time"
Ndio ni haki ya kila mtoto kupata elimu. Najikita katika kuzungumzia Hindi elimu inavopoteza muda kuanzia kidato Cha pili.

Katika mitihani ya Taifa ya upimaji ya kidato Cha pili, Kuna kiwango Cha ufaulu ambacho kitamfanya mwanafunzi/mtu yeyote kuonekana elimu ilimpotezea muda. Hii iko hivi, mwanafunzi yeyote anaepata division IV anaruhusiwa kuendelea na kidato Cha tatu, jambo amabalo ukiangalia tu kwa akili ya kawaida ni kwamba,mwanafunzi huyu hawezi kufaulu kidato Cha nne kabisa. Huu ni ukweli usiopingika.

Mfano mtoto anapata division IV ya point 33 na bado anaenda form 3,hivi huyu mtu kweli form IV atafaulu au ndo ile kulazimisha Mambo?

Ninachoona mimi, wazazi,walezi na ndugu, tutambue mapema plan B za wanafunzi wanaopata matokeo Kama nilotaja hapo awali na sio kulazimisha mambo, ili kuepuka suala la elimu kuonekana ni kupoteza muda.

Elimu ni kupoteza muda, endapo mtu anafail.
 
Muda huo huo unawaonea wivu wenye PhD. Kuna muda unaona hawana msaada kwako wakati unajua kila mtu anapambania tumbo lake.
 
Aisee sema Elimu ya form four kwa mtoto wa mkulima Kama Mimi ni muhimu kuwa nayo ,
 
seremala-k/fresh-kwa mbiki-kwa zoo-kwa mustafa-uwanjani-sheratoni-buyuni-mazinda-kwa singa-taliani-nyeburu-kwa daddy-nguvu kazi-magenge-masantula-kwa ngwale-msumbiji
 
Kuna ile point enzi za O-lever ilikuwa inasema," education consumes time"
Ndio ni haki ya kila mtoto kupata elimu. Najikita katika kuzungumzia Hindi elimu inavopoteza muda kuanzia kidato Cha pili.

Katika mitihani ya Taifa ya upimaji ya kidato Cha pili, Kuna kiwango Cha ufaulu ambacho kitamfanya mwanafunzi/mtu yeyote kuonekana elimu ilimpotezea muda. Hii iko hivi, mwanafunzi yeyote anaepata division IV anaruhusiwa kuendelea na kidato Cha tatu, jambo amabalo ukiangalia tu kwa akili ya kawaida ni kwamba,mwanafunzi huyu hawezi kufaulu kidato Cha nne kabisa. Huu ni ukweli usiopingika.

Mfano mtoto anapata division IV ya point 33 na bado anaenda form 3,hivi huyu mtu kweli form IV atafaulu au ndo ile kulazimisha Mambo?

Ninachoona mimi, wazazi,walezi na ndugu, tutambue mapema plan B za wanafunzi wanaopata matokeo Kama nilotaja hapo awali na sio kulazimisha mambo, ili kuepuka suala la elimu kuonekana ni kupoteza muda.

Elimu ni kupoteza muda, endapo mtu anafail.
Elimu kamwe haiwezi kuwa ni kupoteza muda hata kama mwanafunzi akifeli mtihani. Labda kama hatujui hasa lengo-mama la elimu ni nini.
 
Back
Top Bottom