Japan na Uk zina ukubwa gani? Ardhi nani ana shida nayo? Kila kitu ni strategic
mleta mada: sifa ulizozitoa hapo ni za kweli. Lakini EAC inaweza kuwepo na kufanikiwa KWA HARAKA ZAIDI kama Tanzania haitakuwemo. Sababu mmoja kubwa ni kwamba siasa zitapungua sana ndani ya jumuiya, watabaki wenye utamaduni wa utendaji.
Strategy? Yes! Hata ukoloni na utumwa ni miongoni mwa "strategies" zilizolinyonya bara hili. Ndio maana Uingereza, pamoja na udogo wake ni imara!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Japan na Uk zina ukubwa gani? Ardhi nani ana shida nayo? Kila kitu ni strategic
Kagame ametenda nini kwa Rwanda-kuwachinja na kuwakimbiza nchi za nje wapinzani wenzake wa kisiasa?
Museveni kaifanyia nini Uganda tangu aingie madarakani.....Nenda ukafanye research kampala
Uhuru- ana utendaji gani unaoujua zaidi ya historia ya utajiri wa kupora ardhi uliofanywa na familia yake miaka ya nyuma?
acha kukurupuka.
bahati mbaya umezungumzia VIONGOZI, umesahau WATU. next time usikurupuke.
watu kivipi?
hakuna nchi zenye watu waliogawanyika kiitikadi kama hizo...
Kenya kuna - anti uhuru wengi sana
Uganda ndiyo usipima wanasema wazi kuwa wanatawaliwa na mtusi...na wakichachamaa M7 anatishia kuvunja bunge nchi itawaliwe kijeshi tena
Rwanza ndiyo usiombe-watu wametiishwa kwa nguvu na kuogopa kufanyiziwa na vibaraka wa kagame.
kama ni watu soko......kenya inaihitaji tz kwa soko la bidhaa za viwanda vyake....soko la kenya ni dogo ndiyo maana hapa tz tu kuna equity bank, kcb, cb, boa zote ni bank kutoka kenya achilia mbali bidhaa za viwanda ukianzia omo, maziwa na zingine nyingi...
Ukibahatika kufanya kazi/project/biashara na watu wa nchi hizo utagundua tofauti yao na waTZ (kwa wastani of course). Kwa kusoma na kusikia juu juu unaweza ukawa na mtazamo tofauti.
Kweli kabisa. Hawa wanaosema kuwa wengine hawataweza bila ya wao, waangalie wako wapi kimaendeleo hivi sasa? Sijui kwa nini watu hawawi 'realistic' badala ya kuamini ngonjera tu za ardhi, maliasili etc. Well, ardhi, maliasili nk vitafaa tu ikiwa kuna viongozi. Tanzania haina, na haikuwa na viongozi waliokamilika (walikuwepo nusu nusu ie. umahiri wa siasa bila uchumi tu). Bila ya viongozi vitu hivyo havina maana: Taiwan, Singapore, Japan zina ardhi au maliasili ganii? Uchumi wa Mauritius ni mzuri kuliko wa Nigeria.

😛layball:ni kweli kabisa mkuu, lakini usiangalie uchumi wa nairobi au utajiri wa mtu mmoja ukadhani ni wa wakenya wote, ingia Uganda uone, nenda Rwanda vijijini uone wahutu walivyogeuzwa watumwa na wachunga ng'ombe wa watutsi.
Afya ya familia haipimwi kwa kuangalia kitambi cha baba!
Ndugu hawa jirani zetu wanatuhitaji sana kuliko sisi tunavyo wahitaji. Pia tumshukuru sana rais wetu Kikwete kwa kutuokoa kuchelewa kuingia kichwa kichwa kwenye shirikisho la kisiasa zile siasa zao za kibabe tusingezimudu ndugu zangu zangu hata timu ya Samweli Sitta inayotuwakilisha katika shirikisho hilo japo watz huwa tunatazama zaidi madhaifu ya viongozi wetu mfano timu ta Sitta ilishawahi kukataa pendekezo la wajumbe wa Kenya la kutaka kuingiza kipengele cha masuala ya ulinzi eti taifa moja la Afrika mashariki likishambuliwa kijeshi nchi zote ziingie kijeshi na hili lilikuja baada ya Kenya kuwa imezidiwa na alshabab hakuna asiyejua jinsi Kenya ilivyozidiwa nguvu na al shababu hadi akaomba kuunganisha majeshi yake na majeshi ya umoja wa Africa AMISOM afu pia Uganda inawaasi wengi pia kwa mtindo wa siasa zao wanayo nafasi kubwa ya kutengeneza maadui yote haya ndio yanachangangia haya tunayoyaona sasa tuamke watanzania MUNGU anatupenda jamaa wamejionyesha mapema kabla hatujafika mbalimbali ya hii safari hata kama tukiendelea nayo tatasonga kwa tahadhari kiliko kwenda kichwa kichwa the hero is the one who stand alone MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRIKAJapan na Uk zina ukubwa gani? Ardhi nani ana shida nayo? Kila kitu ni strategic
hater!Kagame ametenda nini kwa Rwanda-kuwachinja na kuwakimbiza nchi za nje wapinzani wenzake wa kisiasa?