Hii ni baada ya zile siku 2 chungu za tafakuri kukamilika, mrejesho waanza kuingia:
1. Alisema mapema Natenyahu kuwa katu hataridhia.
2. Aiidai Natenyahu, mezani kulikuwa na matakwa ya kipuuzi ya HAMAS yasiyokubalika.
3. Kumbe yote ilikuwa mikwara mbuzi!
4. Kwamba tuko hapa:
5. Hii ni dhahiri bin Shahiri kuw, Natenyahu kesha fika bei.
6. Kufikia hapa, kutokea madhabahuni mmoja keshatokea, anasubiriwa HAMAS.
7. Kulinganisha na msimamo wa awali wa bwana Natenyahu, waungwana tunasema:
"One man down! I repeat; One man down!"