Je decoder zenu za Qsat zinafanya kazi?

Je decoder zenu za Qsat zinafanya kazi?

6'sben

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Kwa wale ambao mnatumia decoder za Qsat ,Je zenu znaonesha..?
 
Qsat Kwishney! ndio hivyo tena mchezo hasara, mwizi zake 40.
 
Acheni uzushi, zinapiga kazi kama kawa isipokuwa channel za HD ndo hazishiki
 
m natumia Q13g ilikata ghafla ka kuna msaada naweza pata plz
 
cjakusoma kuhusu code

Nenda settings→Xcam setup→AvartacamHd
Ukiwa hapo bofya Green button kwenye remote kupata active code ya acc yako

Kama inaanza na 40********* basi kaa usubiri
Gud day
 
natumia qsat 13G bt cjaona xcam katika setting
Ukiwa kwenye 'Settings' bonyeza 1512. Yatakuja maelezo aliyotoa Njunwa hapo juu. The fuata maelekezo yake
 
Back
Top Bottom