Aisee hii sidhani kama inawezekana kutokana na sifa za thermal paste na sifa za toothpaste.Wadau naombeni uhakika kwasababu kuna post nilisoma net wamesema "Toothpaste is also an excellent substitute for thermal paste"
Kwa anayejua naomba anithibitishie.View attachment 1622780
Sh ngapi wanauza?
Wanauza mpaka 3000 tena kopo kubwa hata hulimalizi.Around 6000 kwa tube au kichupa