Dalili za uchungu huwa hazitabiriki na zinaweza kutokea siku hiyo hiyo na akajifungua, sio lazima zianze wiki moja kabla. Unaweza ukaamka mzima kbs na ukafanya kazi zako vzr tu na ukashangaa ht mida ya mchana hali inabadilika, uchungu unaanza.Wakuu habari, mfano mwanamke akawa majamzito, wakaweka makadilio kuwa atajifungua tarehe fulan, mfano tarehe 20.04.2019, Je dalili za uchungu kuanza, zinaweza kuanza wiki moja kabla ya siku ya makadilio!? Je dalili hizo zinaweza kudumu mpaka ikafika tarehe aliyokadiliwa ndio akajifungua!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dalili za uchungu huwa hazitabiriki na zinaweza kutokea siku hiyo hiyo na akajifungua, sio lazima zianze wiki moja kabla. Unaweza ukaamka mzima kbs na ukafanya kazi zako vzr tu na ukashangaa ht mida ya mchana hali inabadilika, uchungu unaanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
😊 umenikumbusha,hali hiyo ilinitokea mimi.Dalili za uchungu huwa hazitabiriki na zinaweza kutokea siku hiyo hiyo na akajifungua, sio lazima zianze wiki moja kabla. Unaweza ukaamka mzima kbs na ukafanya kazi zako vzr tu na ukashangaa ht mida ya mchana hali inabadilika, uchungu unaanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
samahani,naomba nijaribu kukujibu ingawa hukuni-qoute mimi.
samahani,naomba nijaribu kukujibu ingawa hukuni-qoute mimi.
Kwa uelewa wangu,huwa kuna false labor na true labor
False labor huwa inatokea mapema zaidi,yaani hata mwezi mmoja kbl ya tar ya makadirio na hapo mama hupata maumivu ya tumbo(kama uchungu) ambayo hudumu kwa muda usiozidi dk 5 then yanatulia,Maumivu hayo hujirudia tena baada ya dk 20-45 badae.
True labor ndio ule uchungu wenyewe sasa,maumivu juu ya maumivu.
ni dk 5 mkuu ,sio siku 5.Asante, nimekupata vizuri, Hvo anaweza kuanza mapema alafu baadae hali ikatulia baada ya hizo siku 5
Sent using Jamii Forums mobile app
ni dk 5 mkuu ,sio siku 5.
Ndio, mama anapata maumivu ya muda mfupi then yanapoa,anakaa kwa muda dk nyingi kdg halafu maumivu yanajirudia tena.
Nakumbuka mm nilipitia hiyo hali kiasi cha kwenda hosptl nikihisi ndio uchungu wenyewe,nilipewa bed rest na na doctr akanambia hizo ni false labor,napaswa kufanya mazoezi zaidi.
Nilijifungua baada ya mwezi mmoja tangu niliporuhusiwa hospt
Hahahaha yaan hiyo huwa haitabiriki.umenikumbusha,hali hiyo ilinitokea mimi.
Niliamka na kufanya kazi zangu kama kawaida,jioni nikaenda kufanya mazoezi kama ilivyo ada,na usiku nikaanda chakula cha familia,lakini ghafla saa mbili usiku uchungu ukaanza
Hapo inategemea na kichwa cha mtoto, kuna wengine ukianza ni moja kwa moja mpk leba unashusha na kuna wengine unaweza kusota ht siku tatu bila.
Japo anaweza asipate hiyo ya kwanza, uchungu ukaja ule ule wenyewe. Sema kuna wengine huwa wanahangaika ht siku mbili, tatu n.k.samahani,naomba nijaribu kukujibu ingawa hukuni-qoute mimi.
Kwa uelewa wangu,huwa kuna false labor na true labor
False labor huwa inatokea mapema zaidi,yaani hata mwezi mmoja kbl ya tar ya makadirio na hapo mama hupata maumivu ya tumbo(kama uchungu) ambayo hudumu kwa muda usiozidi dk 5 then yanatulia,Maumivu hayo hujirudia tena baada ya dk 20-45 badae.
True labor ndio ule uchungu wenyewe sasa,maumivu juu ya maumivu.
Mkuu siku ikifika, yale maumivu yake km ni mkeo utajua tu hapa ngoma imetick.Asante kwa kueleza jambo ulilo na uzoefu nalo, Je dalili za uchungu ambao ni wa ukweli huwa ni zip, ambazo kwa 100% lazma ajifungue?
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kbs mkuuJapo anaweza asipate hiyo ya kwanza, uchungu ukaja ule ule wenyewe. Sema kuna wengine huwa wanahangaika ht siku mbili, tatu n.k.
Japo kwangu huwa inakuja moja kwa moja
Sent using Jamii Forums mobile app