red apple
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 732
- 1,126
Itakuwa mawazo yako ndio yamekuathiri, yapotezee na jiambie moyoni kuwa upo salama. Kwa uhakika zaidi kafanye vipimo.Nakomaakomaa kwanza nione mwisho wake... hapa najoskia uchovu na kizunguzungu
Sent using Jamii Forums mobile app