Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 37,079
- 2,000
Sio wote wanaugua corona hufa,asilimia 70 hupona na kuendelea na maishaKifua kinakuwa kizito lakini sipati kikohozi
Najihisi nina mafua soft...
Damu inachemka kwa mbaali haswa wakati wa mchana
Uchovu
Kama siku 10 nyuma nilikaribiana na Mchina kwenye duka fulani la dawa alikuwa akinunua mask ili atume kwao.
Kama utakuwa ndo wenyewe itakuwa poa tu. Bora nife tu maana humu Duniani hamna fàraja bora nikapunzike.
Sent using Jamii Forums mobile app