TheCrazy Mchokozi
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 181
- 252
Unakufa maranyingi kabla hujafa kabisa na wala hujui hili...hivyo hata siku ukifa hutajua kama umekufaAll in all mm sitaki kufa jamanii
Mimi binafsi nafikiri ni njia nzuri yakuyalinda mazingira,...Kwa wale wasiojua cremation ninini ......ni kuchoma moto mwili wa mfu kulingana na tamaduni husika
Binafsi naipenda kwakuwa tunaipunguzia ardhi kuilisha uozo na uvundo laana na mabalaa
Andika vizuri wewe, unakimbizwa kwani? Kha!Nao mwili utarudi mavumbini.
Mimi nizikwe udongon, niliwe namchwa,nioze oze, nibakie vimfipa.
Ni kweli kabisa...mwili unakuwa na thamani ukiwa hai tuuMimi binafsi nafikiri ni njia nzuri yakuyalinda mazingira,...
Cremation ni njia nzuri sana na inaokoa gharama na kupunguza matumizi mabaya ya ardhi
Ata kama ukifa unapata hisia bhasi pia wakati mchwa wanakula nyama yako utasikia,..Kwakweli mimi swala la kunichoma na moto silitaki kama wamenichoka sana bora wanitupe tu kuliko kunichoma na moto...
What if mtu akifa anakuwa anasense maumivu (maana hakuna mtu aliyewahi kurudi kutoka kifo akwatwambia ukifa unakuwaje)
Mimi kunichoma hapa aiseh tutamaindiana na mtu nikifa akatoa wazo la kunichoma
Yote tisa lakini mimi kuchomwa moto hapana aiseeh huo utaratibu waachie wahindi na wakorea sisi watuzike tu chini...kama ni ardhi tunayo ya kutosha hadi nyingine watu hawajawahi kuikanyagaAta kama ukifa unapata hisia bhasi pia wakati mchwa wanakula nyama yako utasikia,..
Ila mwili haupati hisia zozote kama ubongo wako haupo active... bhasi njia zote mbili ni njia za kutupa uchafu (Maiti haina thamani tena na ingekuwa nayo tungeishi nazo nyumbani)
Kama unaishi bhasi tambua kwamba ipo siku tuAll in all mm sitaki kufa jamanii
eeeeehUnakufa maranyingi kabla hujafa kabisa na wala hujui hili...hivyo hata siku ukifa hutajua kama umekufa
Hufai kuogopa kwani ni njia za mazishi kwani mwili wako umepoteza hisia na imebaki kuoza tu,...Yote tisa lakini mimi kuchomwa moto hapana aiseeh huo utaratibu waachie wahindi na wakorea sisi watuzike tu chini...kama ni ardhi tunayo ya kutosha hadi nyingine watu hawajawahi kuikanyaga
Mkuu Hili Pia Nilitaka KulizungumziaTatizo ni taratibu za kiimani ambazo tumekua nazo. Mimi kwa mawazo yangu binafsi huwa nawaza nikifa nitoe sadaka viungo ambavyo vinaweza kutumika kwa watu wengine walio hai na kitakachobaki basi kikachomwe tu. Sidhani kama roho ikishatoka kiwiliwili huwa na thamani tena.
Mkuu! Nimetoa maoni yangu page namba moja umeyapitia?Mkuu Hili Pia Nilitaka Kulizungumzia
Kuliko kuacha Macho yaoze, Figo zioze, Mapafu yaoze mbona watu wasingekubali kwamba viungo ivi vitolewe sadaka kwa waliohitaji
Lakini kama unavyosema 'IMANI' zimetufunga pia tunaamini kwenye kuzikwa na kuoza na kila kitu
Wazo zuri sana Mkuu
Umedadavua vizuri kwa kuelezea 'The Recycle in the Ecology' kwamba viumbe tunategemeana katika mazingiraDunia iliumbwa kwa namna ya pekee sana na namna hiyo ni kurecycle kila kitu kilichopo juu ya mgongo wake.
Binadamu, wanyama au kiumbe hai chochote kinapokufa minyoo wanawahi kuchukua viini lishe na kusambazia ardhi then ardhi inapokea na kuipa mimea ili iistawi na binadamu wengine wale na kurutubisha miili yao. Hivyo kuzika ardhini kunawapa fursa minyoo kusambaza vile viini lishe kwa binadamu waliobaki then maisha yanazidi kustawi Duniani.
Hata mvua hajawahi kuja mvua mpya ...maji ni yale yale kutoka baharini na Kwenye maziwa yanapanda juu kama mvuke then yananyesha baadae kama mvua tena..and the cycle continues.
Hivyo kuzikwa ardhini ndio njia sahihi kabisa ya kuifanya Dunia iwe sustainable maana si ajabu roho ni zile zile zinajirudia Duniani bila kujua maana ukizaliwa unakuwa una kumbukumbu ya unapotoka na kwa vile God ana recycle kila kitu...probably souls and spirits zetu zina reincarnate tu kwa kwenda na kurudi Duniani.
Na tunapohifanyaga tuna akili zaidi kuliko yeye basi anacheeeeka huko enzini! [emoji23]
God is the beste designer and first infinity genius.
Cc the crazy mchokozi Mshana Jr