Hamna kitu kama hichoWanajamvi habarini, nimekutana na kisanga kutoka kwa dada wa kazi, yeye ni mzaliwa wa Dodoma na alikuja kufanya kazi nyumbani kwangu hapa Chugastan. Siku moja tumeanika maharage baada ya kuvuna na tukaona kuna dalili za mvua mvua vimanyunyu kwa mbali tukaanza kutapa hofu kwamba mvua inaweza anguka na tukapata hasara. Dada kuona tunahofu akasema hainashida akaingia jikoni akachukua chumvi akaweka kwenye kisosi akaenda kuweka nje. Chakushangaza mvua haikunyesha tena pakawa kawaida tu na maharage yetu yakaendelea kukauka. Sasa swali langu ni hii sayansi aliyoitumia kwakweli sijawahi kuiona na nilibaki nashangaa kweli kweli. Je hii issue ya chumvi ni kweli inazuia mvua au ni kiini macho tu alitupiga ?
Watoto wa kateksta watapinga na kudai uchawi ila Afrika Kuna mambo. Hii ya mtoto wa mwisho ipo kabisa na inafanya kazi.Huenda ni kweli maana hata mtoto wa mwisho akielekeza makalio mvua inakotokea hua inakata
ππππππHuenda ni kweli maana hata mtoto wa mwisho akielekeza makalio mvua inakotokea hua inakata
Eeeenhh hii imekaa vizuri ujue!!!!!!!Huenda ni kweli maana hata mtoto wa mwisho akielekeza makalio mvua inakotokea hua inakata
Sasa si ushaona kabisa na si kusimuliwa halafu bado unatuuliza, mkulungwa unafeliWanajamvi habarini, nimekutana na kisanga kutoka kwa dada wa kazi, yeye ni mzaliwa wa Dodoma na alikuja kufanya kazi nyumbani kwangu hapa Chugastan. Siku moja tumeanika maharage baada ya kuvuna na tukaona kuna dalili za mvua mvua vimanyunyu kwa mbali tukaanza kutapa hofu kwamba mvua inaweza anguka na tukapata hasara. Dada kuona tunahofu akasema hainashida akaingia jikoni akachukua chumvi akaweka kwenye kisosi akaenda kuweka nje. Chakushangaza mvua haikunyesha tena pakawa kawaida tu na maharage yetu yakaendelea kukauka. Sasa swali langu ni hii sayansi aliyoitumia kwakweli sijawahi kuiona na nilibaki nashangaa kweli kweli. Je hii issue ya chumvi ni kweli inazuia mvua au ni kiini macho tu alitupiga ?