curie
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 1,058
- 2,451
Ukweli ni kwamba ukimkamata mtu kama Tundu Lissu na ukamfungulia kesi unakua haumshushi bali unazidi kumuongezea credibility kwa watu na anazidi kujikusanyia wafuasi. Kumkabili Tundu Lissu unahitaji watu “Smart” katika siasa, magwiji wa kujenga hoja na wenye nguvu ya ushawishi.