kwenye siasa dakika 5 ni nyingi sana usisahau hilo pia...CHADEMA ni nguvu ya Umma, wananchi wanakula sisiem wanalala na kulinda kura zao CHADEMA, watch them...
Wananchi wamechoka manyanyaso ya CCM, wamechka wanatamani hata Uchaguzi ufanyike kesho. Hakuna watu ambao wamekuwa wakiibeba CCM kama waalimu, ila kwa sasa CCM imeshawakosa waalimu kwa kukataa kuwaongezea mishahara.
CHADEMA wameshaenda mikoa ya kusini, kaskazini ni obvious washafika,kanda ya ziwa tayari, sasa wako mikoa ya morogoro, dodoma na kwingineko, uko wapi wewe ndugu yangu????watch them.
Let's wait and see...hakuna kulala mpaka kieleweke.
Ukweli ni kuwa chadema haijakamilika kuchukua nchi hii, kutokana na mapandikizi ya ya selikali, ila kutokana na udhaifu wa ccm chadema ina nafuu mara 100% kuliko ccm