Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,502
- 6,403
Unaweza kuonesha mpinzani alieteuliwa na JPM?Anachofanya huyo Jiwe ni kufanya uteuzi kwa lengo la kutaka kuua upinzani
mkuu hata jerry muro?Kwani walioteuliwa hawawezi kuongoza.?
Upinzani hautakufa ila cdm itakufa.Anachofanya huyo Jiwe ni kufanya uteuzi kwa lengo la kutaka kuua upinzani.........
Jaribu kuona hata teuzi zake utagundua kuwa qualification no 1 ni kuangalia watu watakaoweza pambana na wapinzani, hebu jaribu kuangalia uteuzi wa DC wa Arumeru, Jery Muro, amejiridhisha kuwa huyo kwa njia haramu au halali ndiyo mwenye uwezo wa kupambana na upinzani............
Vile vile kumekuwa na madai ya siku nyingi ya wapinzani kuwa uhamaji wa wapinzani kwenda CCM huwa unaambatana na rushwa
Ukweli umejidhihiri Jana kwa kuwateua Kafulila kuwa RAS wa mkoa wa Songwe, Moses Machali kuwa DC wa Nanyumbu na Petrobas Katambi kuwa DC mpya wa Dodoma mjini
Hivi anataka kutuambia huyo Magufuli kuwa katika wale wanaccm kindaki ndaki walioko kwenye "waiting list" hakuna mwenye uwezo wa kuwa DC au RAS zaidi ya hao akina Petrobas, Kafulila au Moses Machali??
Lakini namuhakikishia huyo Jiwe kuwa staili anayotumia, hataweza kamwe kuua upinzani, zaidi sana ndiyo atauumarisha
Kwani anachofanya huyo Magufuli ni sawasawa na mtu anayekikimbiza kivuli chake, kamwe hawezi kuki-catch......
Kwani sasa wanaccm na wapinzani, wote wana malalamiko, kwa wanaccm ni kuwa iweje huyo Mwenyekiti ateue "wegeni" toka upinzani tena kwenye nafasi hizo kubwa za uDC na uRAS??
Na kwa upinzani ni kuwa madai yao ya siku nyingi kuwa CCM wanatoa "rushwa" ya vyeo kwa wapinzani, itakuwa imejidhirisha!
Nafikiri mnakosa hoja za mcng.Jana kumefanyika uteuzi wa zaid ya nafas 30.Kwa idadi hiyo,ni wangap wageni wameingizwa na wangapi wenyeji wameachwa?Hakuna nafasi hata moja waliyopata Hao wateule na sio makada wa ccm.Kukujua hao wengine kuwa ni makada wa ccm hakuhalalishi hoja ya kwanini kawachagua akina katambi.Nyinyi kwenu makada wa ccm ni wale mnaowajua tu,kitu ambacho sio kweli.Kujua walioteuliwa ni makada wa ccm na sio kweli kwamba ccm inajali wageni na kuacha wenyeji ktk hiyo list ya wateuliwa kafuatilie historical background zao then urudi.Anachofanya huyo Jiwe ni kufanya uteuzi kwa lengo la kutaka kuua upinzani.........