Je Bunge ni Nini? Bungeni ni Wapi?

Je Bunge ni Nini? Bungeni ni Wapi?

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,565
Habarini Wanajanvi

Kutokana na mkanganyiko wa mambo ya Kisisa Nchini na hata kusababisha Tafsiri tata kwa baadhi ya mambo tulioyodhani ni ya kawaida na ni mepesi kuyafahamu na kuyajua.

Kabla tulijua Bungeni ni sehemu maarumu ambapo shughuri zote zinazohusu Bunge hufanyika.

Kabla tulijua Bunge kama Bunge ni mjumuisho wa Wabunge na itifaki nzima ya Bunge kama Spika ama Naibu ama wenyeviti wa vikao vya bunge . kwa ujumla wake wa hawa Wadau Bungeni ndio linaitwa Bunge.

Hivyo ili Bunge likamilike Wanahitajika Wabunge, Spika ama Naibu Spika, au Wenyeviti wa Bunge na Sehemu Maalum ambapo ndio Panaitwa Bungeni.

Kikipungua kimoja wapo kati ya hivyo basi hilo halitaitwa Bunge labda kama ni vikao vya kamati za Bunge.

Hivi ndivyo Tulijua kabla.
 
Huu mjadala ifike sehemu uishe

Kwa kifupi Wake wa Viongozi wakuu wa Chadema ndio wamejipa viti maalum na ili kuzuga kuepuka mtafaruku imezugwa wafutiwe vyeo vyao
 
Bunge ni members of parliment, bungeni ni house
 
Huu mjadala ifike sehemu uishe

Kwa kifupi Wake wa Viongozi wakuu wa Chadema ndio wamejipa viti maalum na ili kuzuga kuepuka mtafaruku imezugwa wafutiwe vyeo vyao
Mzima data lala au pita kwenye post hizi.

Wewe siulikuwa unachekelea wakati covid 19 wamechaguliwa.
 
Mpaka sasa nachekelea orodha yenye watoto wa Ndesamburo sijui Mahawara wa mwenyekiti haijavuka mlango wa Ufipa
Mzima data lala au pita kwenye post hizi.

Wewe siulikuwa unachekelea wakati covid 19 wamechaguliwa.
 
Waume zao wamebaki kwny Kamati kuu wakizuga kuwa wametimua wake zao chamani japo suruali za kujia kwny hicho kikao zimenyooshwa na hao covid 19

Hata David Kafulila kamzidi Mbowe kwa kuchomekea jina la Mkewe aendelee kuwa Mbunge wa viti maalum Chadema

haya tumeshafukuza hawa wabunge wenu wa gareji wapokeeni Lumumba mnywe nao chai.
 
Mpaka sasa nachekelea orodha yenye watoto wa Ndesamburo sijui Mahawara wa mwenyekiti haijavuka mlango wa Ufipa
Kumbe mahawara? Kwani wewe wamekuacha wangapi mpaka sasa?

Maana mama yako umempa watoto anakulelea tu.
 
Waume zao wamebaki kwny Kamati kuu wakizuga kuwa wametimua wake zao chamani japo suruali za kujia kwny hicho kikao zimenyooshwa na hao covid 19
cha msingi tumewatimua wabunge wa gereji wanakuja huko Lumumba kuwaongoza maana huwa mmelala mno.
 
pale ilikuwa kama gereji wamefunga maturubai.kwa kweli inadhalilika sana,ingekuwa inasema tungesikia kelele kuu
 
Cha Msingi zaid sasa hivi hatujadili tena ujasiri wa kufanya maandamano ya kupinga matokeo, tunajisifu kwa kuwafuta vyeo ma binti
cha msingi tumewatimua wabunge wa gereji wanakuja huko Lumumba kuwaongoza maana huwa mmelala mno.
 
Huu mjadala ifike sehemu uishe

Kwa kifupi Wake wa Viongozi wakuu wa Chadema ndio wamejipa viti maalum na ili kuzuga kuepuka mtafaruku imezugwa wafutiwe vyeo vyao
Na kufutiwa uanachama hilo unalisemaje? Ukivuliwa nguo ni vema ukachutama. Kwa hii comment yako ni bora ungekaa kimya.
 
Tuliwaambia uchaguzi ukiisha mtaandika sana thread za kulalamika hamkusikia
Na kufutiwa uanachama hilo unalisemaje? Ukivuliwa nguo ni vema ukachutama. Kwa hii comment yako ni bora ungekaa kimya.
 
bunge lazima siwa iwekwe mbele.
mzee mdee na wenzake ni wabunge wa bunge la ndungay na sio la JMT.
 
CCM imewauma balaaa 🤣 🤣 🤣

Chezea Mwamba wewe.
Screenshot_20201128_132654_com.android.chrome.jpg
 
Siwa ndio bunge.

Ikiwekwa pale mbele ya ukumbi ndio panaitwa " Bungeni "

Ikiondolewa kinakuwa kikao cha kamati ya wabunge lakini siyo bungeni ila kwenye ukumbi wa bunge!
 
Siwa ndio bunge.

Ikiwekwa pale mbele ya ukumbi ndio panaitwa " Bungeni "

Ikiondolewa kinakuwa kikao cha kamati ya wabunge lakini siyo bungeni ila kwenye ukumbi wa bunge!
Pale kwenye zizi la ng'ombe wewe
 
Back
Top Bottom