Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?

Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement.

Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?.

Kumewahi kutolewa tuhuma kadhaa kuhudu udhaifu wa mhimili wetu wa Bunge, hadi kuitwa "Bunge Dhaifu" au "Bunge Butu" kwa hoja kuwa halina meno makali ya kuweza kung'ata Mhimili mmoja wa The Executive, wakati mhimili huo unapokwenda kinyume cha sheria, taratibu na kanuni nikitolea mfano mmoja tuu wa matumizi ya fedha za umma.

Hoja za watoa hoja ni hatua mbali mbali zinazochukuliwa na Bunge, kunyamazia makosa ya the executive.

Kwa vile Bunge letu tunafuata mfumo wa Westiminster wa Uingereza ambao pia ndio unaofutwa na mabunge mengi ya nchi za Jumuiya ya Madola, jee kuna ubaya Bunge letu na Wabunge wetu, wakanoa meno na kuwa makali kama Bunge la Uingereza ambalo ni Bunge lenye meno kweli, ukilinganisha na Bunge letu, mtu unaweza kuliita Bunge letu ni Bunge...(sitaki kuitwa tena Dodoma).

Ripoti ya CAG ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, imeishakabidhiwa kwa rais, hivyo sasa itashuka Bungeni Dodoma wiki ya kwanza ya kikao cha mwezi April, hivyo kuwa a public document, tuifuatilie ripoti hiyo itabaini nini na kulifuatilia Bunge letu litafanya nini this time.

Ripoti ya CAG kwa miaka mitatu mfululizo, 2016, 2017 na 2018, zote zimeonyesha serikali imekuwa ikitumia fedha za umma kutoka mfuko mkuu wa hazina bila kufuata sheria, taratibu na kanuni, ikiwemo kuidhinishwa na Bunge, tabia hii imekuwa ikijirudia mwaka hadi mwaka, na Bunge limekuwa halifanyi kitu, hali iliyopelekea Bunge kuitwa dhaifu kutokana na kuonyesha udhaifu huu katika kuisimamia serikali ifuate sheria, taratibu na kanuni za matumizi ya fedha za umma, ikiwamo matumizi yote ya fedha za umma, lazima yaidhinishwe na Bunge, isipokuwa matumizi ya dharura pekee.

Jee tabia hii itajirudia katika Ripoti ya CAG ya safari hii?, likijirudia, Jee Bunge letu litafanya chochote tofauti na nyuma kuonyesha Bunge letu sio dhaifu katika kuisimamia serikali?.

Natoa wito kwa Waheshimiwa Wabunge wetu, kufuatilia kwa karibu kinachoendelea kwenye Bunge la Uingereza kwa sasa, ambapo Bunge la nchi ,linaonyesha perliamentary supremacy kwa kuiadhibu The Executive, na kura zikitosha, Waziri Mkuu Bi Theresa May ndio safari.

Soma hii
Our cover in Britain dissects a week in which Theresa May, the prime minister, has offered to resign and Parliament has seized control of Brexit—sidelining the executive for the first time in over a century. Sadly, Mrs May’s sacrifice does nothing to solve Britain’s Brexit mess. Her resignation depends on Parliament voting through her deal after two crushing defeats. Even if she succeeds (a very big if), Parliament remains hopelessly divided about Britain’s future relationship with Europe. If her deal fails and Parliament forces its own alternative on her, she could resist. If she goes, the next prime minister’s Brexit plan will have no popular mandate. Brexit remains as radically uncertain as it has ever been.
Source ni The Economist.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
yaani pascal hujawahi kutoa hoja ukaeleweka, hivi una elimu gani? ina maana watangazaji mnakuwaga na uwezo mdogo kiasi hiki? mbona hujui kujenga hoja?
 
Mama amejaribu sana kupush the brexit agenda with the best deal imeshindikana. Wenzetu wana utamaduni wa kuomba yaishe hasa kwa sababu bunge lao si rubber stamp ya serikali bali wanasimamia na kuiwajibisha serikali hasa. Huku kwetu ni kinyume chake!
 
yaani pascal hujawahi kutoa hoja ukaeleweka, hivi una elimu gani? ina maana watangazaji mnakuwaga na uwezo mdogo kiasi hiki? mbona hujui kujenga hoja?
Yaani hujaelewa chochote katika bandiko hili kweli au unafanya makusudi tu? Kama ni kweli hujaelewa kitu hapa hebu basi tujulishe na wewe kiwango chako cha elimu pengine ndiyo tuanzie hapo.
 
Najaribu kuona Julius Malema anavyoruhusiwa kupambana bungeni tena mbele ya Rais na hoja zinabishaniwa kwa hoja napata raha sana.

Je, hali kama hii ingetokea katika Bunge la TZ au tuseme Bunge la Ndugai ingekuwaje? Uhuru huu wa mawazo ungeruhusiwa nchi yetu ingefika wapi kimaendeleo?

2020 ndio nafasi pekee ya kubadili mambo na kutoa Uhuru mkubwa kwa Bunge baada ya kuhakikisha Tumehuru ya uchaguzi inaundwa na watu wakatumia haki yao na ikaheshimiwa.

Naunga mkono hoja

Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga? - JamiiForums

Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? - JamiiForums

Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? - JamiiForums

P
 
Wanabodi hili ni bandiko la 2015

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.

5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, , Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
Wanabodi, kwanza angalieni tarehe ya bandiko hili, kisha angalia hoja No. 4, 5, 6, 7 na 8 za bandiko hili, kisha sikiliza kilichozungumzwa jana Bungeni Dodoma kuhusu hoja hii.

Wakati mabunge ya Wenzetu yenye meno wanapanga jinsi ya kuzidhibiti serikali zao, sisi tutapanga kubadili katiba ili kumuandaa rais wa kifalme
P
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement.

Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?.

Kumewahi kutolewa tuhuma kadhaa kuhusu udhaifu wa mhimili wetu wa Bunge, hadi kuitwa "Bunge Dhaifu" au "Bunge Butu" kwa hoja kuwa halina meno makali ya kuweza kung'ata Mhimili mmoja wa The Executive, wakati mhimili huo unapokwenda kinyume cha sheria, taratibu na kanuni nikitolea mfano mmoja tuu wa matumizi ya fedha za umma.

Hoja za watoa hoja ni hatua mbali mbali zinazochukuliwa na Bunge, kunyamazia makosa ya the executive.

Kwa vile Bunge letu tunafuata mfumo wa Westiminster wa Uingereza ambao pia ndio unaofutwa na mabunge mengi ya nchi za Jumuiya ya Madola, jee kuna ubaya Bunge letu na Wabunge wetu, wakanoa meno na kuwa makali kama Bunge la Uingereza ambalo ni Bunge lenye meno kweli, ukilinganisha na Bunge letu, mtu unaweza kuliita Bunge letu ni Bunge...(sitaki kuitwa tena Dodoma).

Ripoti ya CAG ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, imeishakabidhiwa kwa rais, hivyo sasa itashuka Bungeni Dodoma wiki ya kwanza ya kikao cha mwezi April, hivyo kuwa a public document, tuifuatilie ripoti hiyo itabaini nini na kulifuatilia Bunge letu litafanya nini this time.

Ripoti ya CAG kwa miaka mitatu mfululizo, 2016, 2017 na 2018, zote zimeonyesha serikali imekuwa ikitumia fedha za umma kutoka mfuko mkuu wa hazina bila kufuata sheria, taratibu na kanuni, ikiwemo kuidhinishwa na Bunge, tabia hii imekuwa ikijirudia mwaka hadi mwaka, na Bunge limekuwa halifanyi kitu, hali iliyopelekea Bunge kuitwa dhaifu kutokana na kuonyesha udhaifu huu katika kuisimamia serikali ifuate sheria, taratibu na kanuni za matumizi ya fedha za umma, ikiwamo matumizi yote ya fedha za umma, lazima yaidhinishwe na Bunge, isipokuwa matumizi ya dharura pekee.

Jee tabia hii itajirudia katika Ripoti ya CAG ya safari hii?, likijirudia, Jee Bunge letu litafanya chochote tofauti na nyuma kuonyesha Bunge letu sio dhaifu katika kuisimamia serikali?.

Natoa wito kwa Waheshimiwa Wabunge wetu, kufuatilia kwa karibu kinachoendelea kwenye Bunge la Uingereza kwa sasa, ambapo Bunge la nchi ,linaonyesha perliamentary supremacy kwa kuiadhibu The Executive, na kura zikitosha, Waziri Mkuu Bi Theresa May ndio safari.

Soma hii
Our cover in Britain dissects a week in which Theresa May, the prime minister, has offered to resign and Parliament has seized control of Brexit—sidelining the executive for the first time in over a century. Sadly, Mrs May’s sacrifice does nothing to solve Britain’s Brexit mess. Her resignation depends on Parliament voting through her deal after two crushing defeats. Even if she succeeds (a very big if), Parliament remains hopelessly divided about Britain’s future relationship with Europe. If her deal fails and Parliament forces its own alternative on her, she could resist. If she goes, the next prime minister’s Brexit plan will have no popular mandate. Brexit remains as radically uncertain as it has ever been.
Source ni The Economist.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee.

binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tarehe 8/4/2021 yakuwa

"MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae kimya"

Aliyasema hayo akirejea maoni yake kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambapo alisema rais alishauriwa vibaya.

Kiukweli kauli hii inaonesha udhaifu MKUBWA katika taasisi ambayo ilipaswa kuheshimika na kusikilizwa sana! Taasisi ambayo ni mhimili mkuu, taasisi ambayo inapaswa kuisimamia serikali, kutunga sheria na kutupa bajeti bora kwa maendeleo ya kweli kwa taifa letu.

Kistaarabu kauli ile (YA AIBU) ilipaswa kufutwa kwenye Hansard kwani inawafundisha wabunge ambayo wengine niwageni sio tuu kutoshauri kitu mkubwa (rais) akishakiongea! Bali kuwa waoga! bubu! na kutowasilisha matakwa ya wananchi waliowachagua!

Endapo kiongozi wako ananyamazishwa wewe uliye chini yake utasema nini?

Na huu ni uthibitisho mwingine yakuwa serikali ililiweka bunge mkononi na kuliamulia vyakusema, kwa bunge la namna hii tusitarajie maendeleo hili ni 'rubber stamp' ya nini serikali inataka.

Si ajabu sasa kuona wooote waliokosoa serikali waziwazi wametupwa pembeni kwenye uchaguzi wa aibu wa 2020. Sio ajabu kusema wabunge wa upinzani kupitia viti maalumu kuingia bungeni litakuwa ni agizo toka kwa MKUBWA kwenda kwa MDOGO.

Mhimili umegeuka sio mhimili tena,haustahimili kulibeba taifa na hauwezi. Udhaifu huu ni lazima tuuongee bila kukubali kuogopa vitisho na mateso yanayoweza kutekelezwa juu yetu! Tupaze sauti tulikatae.

BUNGE LA AIBU, AIBU, AIBU TUPU!
Hii iishie humu humu jf, ikitoka tuu nje, ikachapishwa na gezeti lolote, jiandae kuitwa Dodoma!.
Usije kusema hukujua, niulize mimi mwenzio, yalinikuta yepi?.
P
 
sasa mayalla utashikaje uongozi ata kuwa mkuu wa wilaya bila kujilipua:D just trust your move and keep going. post#109
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement.

Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?.

Kumewahi kutolewa tuhuma kadhaa kuhusu udhaifu wa mhimili wetu wa Bunge, hadi kuitwa "Bunge Dhaifu" au "Bunge Butu" kwa hoja kuwa halina meno makali ya kuweza kung'ata Mhimili mmoja wa The Executive, wakati mhimili huo unapokwenda kinyume cha sheria, taratibu na kanuni nikitolea mfano mmoja tuu wa matumizi ya fedha za umma.

Hoja za watoa hoja ni hatua mbali mbali zinazochukuliwa na Bunge, kunyamazia makosa ya the executive.

Kwa vile Bunge letu tunafuata mfumo wa Westiminster wa Uingereza ambao pia ndio unaofutwa na mabunge mengi ya nchi za Jumuiya ya Madola, jee kuna ubaya Bunge letu na Wabunge wetu, wakanoa meno na kuwa makali kama Bunge la Uingereza ambalo ni Bunge lenye meno kweli, ukilinganisha na Bunge letu, mtu unaweza kuliita Bunge letu ni Bunge...(sitaki kuitwa tena Dodoma).

Ripoti ya CAG ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, imeishakabidhiwa kwa rais, hivyo sasa itashuka Bungeni Dodoma wiki ya kwanza ya kikao cha mwezi April, hivyo kuwa a public document, tuifuatilie ripoti hiyo itabaini nini na kulifuatilia Bunge letu litafanya nini this time.

Ripoti ya CAG kwa miaka mitatu mfululizo, 2016, 2017 na 2018, zote zimeonyesha serikali imekuwa ikitumia fedha za umma kutoka mfuko mkuu wa hazina bila kufuata sheria, taratibu na kanuni, ikiwemo kuidhinishwa na Bunge, tabia hii imekuwa ikijirudia mwaka hadi mwaka, na Bunge limekuwa halifanyi kitu, hali iliyopelekea Bunge kuitwa dhaifu kutokana na kuonyesha udhaifu huu katika kuisimamia serikali ifuate sheria, taratibu na kanuni za matumizi ya fedha za umma, ikiwamo matumizi yote ya fedha za umma, lazima yaidhinishwe na Bunge, isipokuwa matumizi ya dharura pekee.

Jee tabia hii itajirudia katika Ripoti ya CAG ya safari hii?, likijirudia, Jee Bunge letu litafanya chochote tofauti na nyuma kuonyesha Bunge letu sio dhaifu katika kuisimamia serikali?.

Natoa wito kwa Waheshimiwa Wabunge wetu, kufuatilia kwa karibu kinachoendelea kwenye Bunge la Uingereza kwa sasa, ambapo Bunge la nchi ,linaonyesha perliamentary supremacy kwa kuiadhibu The Executive, na kura zikitosha, Waziri Mkuu Bi Theresa May ndio safari.
Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Hili ni ombi kwa CCM, Bunge lililopita lilikuwa Bunge Butu, Bunge Kibogoyo lisilo na meno, likashindwa kuisimamia serikali, kutokana na kuongozwa na Spika mwenye uwezo mdogo. Hata Naibu Spika aliyepo yeye ndio kabisa ana uwezo wa chini hata JYN ana afadhali !. Tunataka CCM ituteulie Spika Bora atakayerudisha kitu kinachoitwa "Perliamentary Supremacy" over the exécutive.
Kati ya hao waliojitokeza, yuko mtu mmoja tuu pale anayeweza kulifanya hili na huyu sii mwingine bali ni the one and only...

Naomba nisimalizie wala nisimtaje na wewe mpezi mtazamaji nakuomba please usimtaje ili tusije tukaonekana kama tunampigia mtu kampeni, CCM wakaamua kumkata.

Tunaka Spika Bora !.

Paskali si useme tu kama ulivyosemaga hapo mwanzo kuwa ni " yule wa kwetu". Ila uzuri wapo wengi humo na hivyo kwa kukubali ombi lako sijamtaja.
 
Hili ni ombi kwa CCM, Bunge lililopita lilikuwa Bunge Butu, Bunge Kibogoyo lisilo na meno, likashindwa kuisimamia serikali, kutokana na kuongozwa na Spika mwenye uwezo mdogo. Hata Naibu Spika aliyepo yeye ndio kabisa ana uwezo wa chini hata JYN ana afadhali !. Tunataka CCM ituteulie Spika Bora atakayerudisha kitu kinachoitwa "Perliamentary Supremacy" over the exécutive.
Kati ya hao waliojitokeza, yuko mtu mmoja tuu pale anayeweza kulifanya hili na huyu sii mwingine bali ni the one and only...

Naomba nisimalizie wala nisimtaje na wewe mpezi mtazamaji nakuomba please usimtaje ili tusije tukaonekana kama tunampigia mtu kampeni, CCM wakaamua kumkata.

Tunaka Spika Bora !.
P
Halafu wewe P mchokozi sana. Sijui kama umesahau. Ila nakutahadharisha tu iwapo huyo NS akitulia basi utaitwa tena kujieleza kwa Zumbe.
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement.

Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?.

Kumewahi kutolewa tuhuma kadhaa kuhusu udhaifu wa mhimili wetu wa Bunge, hadi kuitwa "Bunge Dhaifu" au "Bunge Butu" kwa hoja kuwa halina meno makali ya kuweza kung'ata Mhimili mmoja wa The Executive, wakati mhimili huo unapokwenda kinyume cha sheria, taratibu na kanuni nikitolea mfano mmoja tuu wa matumizi ya fedha za umma.

Hoja za watoa hoja ni hatua mbali mbali zinazochukuliwa na Bunge, kunyamazia makosa ya the executive.

Kwa vile Bunge letu tunafuata mfumo wa Westiminster wa Uingereza ambao pia ndio unaofutwa na mabunge mengi ya nchi za Jumuiya ya Madola, jee kuna ubaya Bunge letu na Wabunge wetu, wakanoa meno na kuwa makali kama Bunge la Uingereza ambalo ni Bunge lenye meno kweli, ukilinganisha na Bunge letu, mtu unaweza kuliita Bunge letu ni Bunge...(sitaki kuitwa tena Dodoma).

Paskali
Bunge letu lilikuwa ni Bunge Butu kutokana na kuongozwa na Bora Spika, badala ya Spika Bora.
Sasa kuna fursa ya kupata Spika Bora, hivyo akipatikana, Bunge letu, halitaendelea tena kuwa Bunge Butu!.
Kuna dalili njema ya Tanzania kupata Spika Bora.
Kati ya Wagombea watatu waliopitishwa na CCM, kuna Spika Bora, Bora Spika na mtu neutral.
let's put our fingers crossed wabunge wa CCM, watuchagulie Spika Bora.
P
 
Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG).

Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge wamesikika hata wakishauri adhabu kali wapewe wahusika.

Bunge limehitimisha mjadala wa Ripoti husika. Nini kitafuata? Wahusika wa ufisadi na ubadhirifu huo mkubwa watafanywa nini na ni nani hasa mchukua hatua hizo?

Kiukweli, sisi walipa kodi wa nchi hii tungependa kuona hatua kali zinachukuliwa dhidi ya mafisadi na wabadhirifu waliotajwa au kuhusishwa na mambo hayo ndani ya Ripoti ya CAG.

Tunalipa kodi kwa maendeleo yetu. Kutumiwa isivyo kwa kodi na wale tuliowapa dhamana ya matumizi ya kimaendeleo ya kodi zetu kunaumiza sana. Tunatamani na kutaka hatua zichukuliwe. Wabunge wameona na kusema; wachukua hatua wafanye hivyo.
Mkuu Petro E. Mselewa, kwanza asante kwa bandiko hili Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?
Very objective, mimi msimamo wangu kuhusu Bunge letu, kwenye hoja ya bunge kuisimamia serikali, bado haujabadilika ni ule ule wa bunge lililopita Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?
Na hapa Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?
Japo Rais Samia ametoa maelekezo makali kwa maofisa masuhuli, hii ni kesi ya nyani kumpelekea ngedere!.
Kilichopaswa kufanywa on the first place ni kila aliyetajwa kwenye ripoti ya CAG, alipaswa apishe kwanza, akiwa cleared ndipo arudishwe!.
P
 
Back
Top Bottom