Chipaka siyo mpuuzi. Kukaa kizuini kulimfanya kuwa chizi. Huwa Milembe akipata nafuu hutolewa.
Mmh hadi nimeishiwa nguvu kabisa The Boss
Najiuliza hivi inakuwaje watu wanakuwa na ujasiri wa kutafuta mali ya umma kiasi hiki? yaani watu hawaogopi kabisaaa duuh? Dr. Manongi nilidhani angebadilisha hili shirika, kumbe naye hovyo kabisa, na bodi ndo kabisaa imeoza yote!!