Je, Bulembo ajitumbua Mwenyewe kabla kufikiwa?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
attachment.php

 

Attachments

  • 51b1853d-ac80-4b5a-9669-5ac04de189b1.jpg
    51b1853d-ac80-4b5a-9669-5ac04de189b1.jpg
    24.6 KB · Views: 7,051
Kaogopa nini?
huyu ni kada mkubwa
sidhani kama kuna scandal yoyote chama kingemtosa
halafu ujumbe wa bodi sio utendaji
unless awe na maslahi mengine
 
Huyu kuna kitu kanusa kaona awahi wahi, Ngorongoro ni uozo mtupu!!
 
Kuna uhusiano gani kwa yeye kuwa mjumbe wa bodi hiyo na kuwa mwenyekiti wa wazazi? Nasema kwa sababu amejitambulisha kama "mwenyekiti wa wazazi Tanzania" alipomalizia kuandika
 
Ccm imefanya makosa mengi lakini haitafanya kosa kukabidhi upinzani ikulu???

Wewe ndo bado una mawazo ya ujima. Hivi unadhani kuwa na itikadi tofauti za kisiasa basi wapinzani siyo Watanzania??

Bure kabisa. Siyo kila post u-comment Kunyamaza nako ni busara.
 
Ccm imefanya makosa mengi lakini haitafanya kosa kukabidhi upinzani ikulu???

Siku nasisi wenye mlengo tofauti tukiamua kuidai haki kwa nguvu,si wewe wala vitukuu vyako mtakuwa salama!
Maneno ni sumu,endeleeni kuongea ila ipo siku kuna watu watawaamini na kuchukua njia mbadala!
 
Kanusa au kaambiwa na insiders....

Magufuli alipokuwa anazunguka nchi nzima kuomba kura aliudhiwa na tabia ya ccm kumbadilishia wale aliokuwa anaongozana nao kwani kila mmoja wao alikuwa anamuuliza juu ya cheo gani angepewa banda ya Magufuli kushinda; hivyo akawaambia ccm kuwa angeendelea na kampeni yake akiongozana na kada mmoja tu nae alikuwa Bulembo!!

Kujiuzuru kwa Bulembo toka kwenye bodi hiyo ya Ngorongoro ni lazima amenusiswa kuwa aondoke mapema asije akapata aibu mara Magufuli atakapoivunja hiyo bodi!!
 
Back
Top Bottom