Je! Beef hii ni Dar dhidi ya Arusha?

Acha masihara mkuu, hip hop Tanzania imezaliwa na kuasisiwa Msasani Peninsula, katikati ya miaka ya 80 na mwishoni mwa miaka ya 90 ndipo hip hop ikatapakaa mikoani, huu ndiyo ukweli wenyewe.

Ongea na africa hip hop historians wakupe dataz.

Yale mambo ya mwanzoni mwa miaka 90 pale samora 5 stairs au pale chini ya mkuyu coco beach watu waki battle kwa free styles na punch za nguvu hip hop ilikuwa tayari imesambaa Dar es Salaam...kutoka Masaki, Temeke hadi Kimara.

Unanikumbusha ma party ya IST na beer za Miami na coco beach, enzi za Nigga One, Simba, Francis, Majani wakati huo akiwa kijana mdogo sana, Abula...duh noma aisee...enzi hizo watu wanaazima tape za BET na BET, kama una ndugu US bado wewe ndiyo deal.
Sema walikuwa wanafanya hiphop lakini kusema imezaliwa hapo msasani siyo kweli mbeya miaka hiyo unayosema watu walikuwa wanafanya hiphop fresh tu ndo maana mpaka wakina profesa jay,kibacha wa kwanza unit etc wanakuja kusoma mbeya wakakuta tayari kuna wasanii kibao wanapiga kazi,wakina 2proud,Jack gooder,BBG na wengine kibao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom