Ana mapele pele mwilin au makovu meusi au Macho yake ule weupe umezidi kabisa? Au sura yake kama imemvaa japo anaweka mekapu?au maeneo yanayozunguka macho yako kama amejichibua? Je anavaa wigi au ananyoa kipara??
Acheni Ujinga, hizo ni maneno tu hazihusiani na mwenye ngoma