MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,211
- 35,863
Mkuu nimekereka sana japo tumeishinda Croatia. Nilikuwa nafuatilia toka saa mbili usiku hasa TBC1 ili kuona zile shamra shamra za ufunguzi, cha ajabu walikuwa wakijiuza sura tu mpaka mechi inaanza, sauti hakuna. Huko ZBC waliweka muziki tu na baadae kutuwekea RTS channel kuona mechi.
Ukiona hamna sauti tumia remote nenda kwenye kitufe cha Audio then badili either stereo au Left au Right hadi utapata sauti.....