Na kwa taarifa zilizotufikia,Kwa faida ya wadau wote wa Soka,
Kituo cha Televisheni Cha Zanzibar ZBC wataonesha mechi zote za World Cup!!!
Kwa kuwa na AzamTV yenye hii chanel ya ZBC utaweza kuziona pia bila kusahau chanel ya kitaifa TBC itakayoonesha mechi za World Cup japo si zote...
Hakijaharibika kitu, AzamTV Burudani kwa Wote.
TBC 2.
Kombe la Dunia linaanza leo, lakini hadi hivi sasa AZAM television hawajafunguka kutuambia ni channel ipi katika decoder yao itaonyesha. Naomba mwenye ufahamu wa hili anifahamishe.
Azam kuna tbc1 wataonesha mpira vile vile wana local channels za Uganda...wataonesha
Kutoka FB ya AZAMNimeona kule Facebook....jamaa anashindwa kujieleza kiungwana ili walau kuretain public confidence kwenye kisimbusi chao.......mimi ni mtumiaji wa Azam TV lakini kushindwa kutumia fursa hii ya world cup kujijenga inaonesha bado wana safari ndefu sana kushindana kisawasawa hasa kwenye soko kama la Kenya.....
TBC1 wataonesha baadhi ya mechi na AZAM TV wameshindwa kujua kwa uhakika hadi dakika hii channel gani zingine walizo nazo zitarusha mechi zote.......yule Admin wao wa FB anasema inshort watarusha kupitia TBC lakini hasemi channel ipi while waliahidi kuongeza TBC2 kwaajili ya michuano hii....(kumbuka TBC ni sehemu ya Startimes kiumiliki hivyo si rahisi kuruhusu TBC2 sehemu nyingine kipindi hiki cha wodi kapu).
Na kwa taarifa zilizotufikia,Kwa faida ya wadau wote wa Soka,
Kituo cha Televisheni Cha Zanzibar ZBC wataonesha mechi zote za World Cup!!!
Kwa kuwa na AzamTV yenye hii chanel ya ZBC utaweza kuziona pia bila kusahau chanel ya kitaifa TBC itakayoonesha mechi za World Cup japo si zote...
Hakijaharibika kitu, AzamTV Burudani kwa Wote.
Kutoka FB ya AZAM
Wodi kapu sebuleni....safi ZBC sio wachoyo kama TBC :loco:
Hahahah? Kwaio mnataka kusema wenye Azam waandike maumivu tu?
No kuna Chanel mbadala zinaonesha
Mkuu nimekereka sana japo tumeishinda Croatia. Nilikuwa nafuatilia toka saa mbili usiku hasa TBC1 ili kuona zile shamra shamra za ufunguzi, cha ajabu walikuwa wakijiuza sura tu mpaka mechi inaanza, sauti hakuna. Huko ZBC waliweka muziki tu na baadae kutuwekea RTS channel kuona mechi.Nimeona kule Facebook....jamaa anashindwa kujieleza kiungwana ili walau kuretain public confidence kwenye kisimbusi chao.......mimi ni mtumiaji wa Azam TV lakini kushindwa kutumia fursa hii ya world cup kujijenga inaonesha bado wana safari ndefu sana kushindana kisawasawa hasa kwenye soko kama la Kenya.....