HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Naomba mnijuze kama kuna channel AZAM TV itaonyesha mpira, au ndio tujiaandae kununua ving'amuzi vya Star Times.
===========================================================
Kutoka Ukurasa wa Facebook wa Azam TV

Na kwa taarifa zilizotufikia,Kwa faida ya wadau wote wa Soka,
Kituo cha Televisheni Cha Zanzibar ZBC wataonesha mechi zote za World Cup!!!
Kwa kuwa na AzamTV yenye hii chanel ya ZBC utaweza kuziona pia bila kusahau chanel ya kitaifa TBC itakayoonesha mechi za World Cup japo si zote...
Hakijaharibika kitu, AzamTV Burudani kwa Wote.