Je, Ataweza nisamehe?

Duuu huyu jamaa muuaji kabisa mungu akulaani kabisa si bora utumie ndom kuliko kutoa toa mimba
 
ni haki yake kukumbia, we unapanda mbegu then unamwambia atoe? kaona huna malengo. kama unamtaka mtolee mahari na mfunge ndoa ataona kweli unampenda. mkono mtupu haulambwi uncleee
 
Zidi kusihi kuna siku atakuelewa tu
 
Hiv ungejickiaje kama angekuwa ni mama ako baba ako amekataa mimba??? Halafu unaonyesha una roho ya kinyama yan umeshirik dhambi ya mauaj na unakuja kusema mbele ya kadamnas? Nenda katubu kanisan kwanza halafu ndo urud hapa.
 
Ana tabia ya kaumalaya na unataka kumuoa Fanya uchunguzi kwanza ujiridhishe.
 
Epuka hz ishu za "nilisikia" zitakucost kila cku kwny mahusiano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…