Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Jee anaempenzi au kwenye kuzoweana huko mnakua hamfiki kuongea hayo lakini? je uliwahi kumwambia au kumuona mpenzi wako? usife moyo mueleze kiungwa lakini pia hakikisha hutamkosa as a friend na jikubalishe kwa vyote ndani ya moyo wako huenda akapendezewa na huenda asipendezewe..Habari wakuu...
Nahitaji msaada wakuu Kuna sister nilkuwa nimezoeana nae kama dada yangu ila kwa sasa moyo wangu umempenda yeye na ninahitaji kuanzisha mahusiano nae ili tuweze fika katika malengo mengi
-sasa kilichonileta hapa nashindwa mara nyingi kumwambia ukweli kwa kuwa Amekuwa akinichukulia rafiki wa kawaida tu
Mimi mwenyewe nimehisi hiki kitu kla mmoja anasubiri mwenzie aanzeKwa taarifa yako hata yeye anakutaka,tatizo hakuna wa kumfunga paka kengele!
Naogopa sana kuambiwa no maisha yangu sema itanibidi nikibaliane na ukweli tu lolote atakaloniambiaHongera kwa moyo wako kumdondokea mtu mkuu. Na pole kwa kuwa na ganzi kwenye kutenda.
Acha hizo banaa. Muambie ukweli haraka. Wenzio watabeba wewe ukiwa umeng'aa macho tu!! Si ajabu hata yeye anakupenda. Muhimu ujue tu majibu ni ya aina mbili....ndio au hapana. Ikiwa itakuwa hapana usiichukulie personal kwasababu ana haki ya kuamua chochote kuhusiana na maisha yake. Japo unaweza kuendelea kuwa persistent kidogo ili aone kuwa uko seriasi na hatimaye labda akukubalie ombi lako. Ila ukiona "NO" yake amemaanisha inabidi uiheshimu.
Kila la kheri