Mwanamke akiwa interested na wewe utajua tushobo anazo tukionana live...maana kuna wakati ananiita ofisini kwake tuzungumze
tukiwa tunaongea face to face interest zinaonekana kwa 80%..kwa ananipenda..maana hata nikiwa wapi anifata mwenyw na kuniomba kampani ya lunch au break fast ,,mpaka apo nakuwa sielewi apo kama ananipenda au laMwanamke akiwa interested na wewe utajua tu
Kwa maelezo yako hapo juu huyo mwanamke hakupendi
Trust me
Kuna kuachika, akiachika anaweza kukutumia kama SPAREsasa kama HANIPENDI..kinachomfanya alalamike eti namchunia siku izi anamaana gani sasa?
sasa kama HANIPENDI..kinachomfanya alalamike eti namchunia siku izi anamaana gani sasa?
You are in love aseetukiwa tunaongea face to face interest zinaonekana kwa 80%..kwa ananipenda..maana hata nikiwa wapi anifata mwenyw na kuniomba kampani ya lunch au break fast ,,mpaka apo nakuwa sielewi apo kama ananipenda au la
Pole mkuui have agreed according to your views,sina jinsi
Kwani izo lunch na breakfast nani analipia?km ni ww basi ujue anakua na njaa na hana pesa na ashakusoma unamzimia so lazima bills utalipia tutukiwa tunaongea face to face interest zinaonekana kwa 80%..kwa ananipenda..maana hata nikiwa wapi anifata mwenyw na kuniomba kampani ya lunch au break fast ,,mpaka apo nakuwa sielewi apo kama ananipenda au la
Mnafikisasa kama HANIPENDI..kinachomfanya alalamike eti namchunia siku izi anamaana gani sasa?