Mbona mm naona sehemu ya kujaza chuo kimoja tu, umefanyeje ili kujaza vyote hiyvo? Msaada tafadhali![]()
Wadau huyu ndugu yangu kajaza hiviiii second round anaweza Pata au Kuna kitu abadilishe ili asikosea second round ushauri wenu tafadhali
Mbona mm naona sehemu ya kujaza chuo kimoja tu, umefanyeje ili kujaza vyote hiyvo? Msaada tafadhali
![]()
Wadau huyu ndugu yangu kajaza hiviiii second round anaweza Pata au Kuna kitu abadilishe ili asikosea second round ushauri wenu tafadhali
Hii kweli balaaaa.vyuo nilivyochagua second round ni hivi sa sjui ka ntapita
Mwaka huu kitakuwa na compttn balaaaa.Mwambie ajiandae na 3rd round.![]()
Wadau huyu ndugu yangu kajaza hiviiii second round anaweza Pata au Kuna kitu abadilishe ili asikosea second round ushauri wenu tafadhali
kuna dadaangu kasoma pale anasema chuo si kizuri kwa kweli na inaweza kuwa sababu ya wengi kuto kukichaguaHii kweli balaaaa.
Angalia hapo ECKERN FORD UNIVRST nackiaga inachukuaga division one tupu.
![]()
![]()
![]()
![]()
Mwaka huu kitakuwa na compttn balaaaa.
Maaana waliokosa frst wote wameanza na ECKERNFORD na AJUCO
We sema tuu siyo kizur utashangaa unaenda St joseph ya Arusha.kuna dadaangu kasoma pale anasema chuo si kizuri kwa kweli na inaweza kuwa sababu ya wengi kuto kukichagua

hahahahaa kwa nlivyochoka hata wakinipeleka msumbiji ntaendaWe sema tuu siyo kizur utashangaa unaenda St joseph ya Arusha.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
vigumu hivi kk mwambie atoe mzumbe na udomMwambie ajiandae na 3rd round.
Utapata mkuuView attachment 399799hapo kweli wakuu nitapata second round nina two ya 12
Sawa mkuu kwa sababu hapa Nina wasiwasi tuuUtapata mkuu
kaka makaveliy huwezi kukosa hapo koz remaining capacity ipo ya kutosha tuvyuo nilivyochagua second round ni hivi sa sjui ka ntapita