je anaweza kumpa mwanamke ujauzito?

by default

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
839
215
Habari za kazi bandugu.naomba msaada wa kidaktari au ambae atakuwa na uelewa wa ili jambo.kama mwanaume alifunga kizazi zaid ya miaka 10 hiliyopita akikutana na mwanamke nje ya ndoa anaweza kumpa mimba kwa sasa hivi.asanteni
 
Kaka nadhani ungejitahidi ufike darasa la saba ili ujijibu hili swali lako mwenyewe, manake sijui hata unachouliza ni nini? Asante na wewe
 
kuuliza si ujinga kuna mwanamke anasema anayo mimba ya jamaa ,jamaa anasema yeye alifunga kizazi kwa makubaliano pamoja na mkewa wake.kwa wanawake ninaelewa wanafanyiwa opereshen mirija inafugwa au kuchomolewa kbisa kizazi.sasa kwa wanaume ndo niltaka kuelewa isije kuwa jamaa alimzuga mkewe
 
Ndo hapo sasa! Usipouliza utaambiwa huna akili na ukiuliza unaambiwa maliza shule kwanza

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Kaka nadhani ungejitahidi ufike darasa la saba ili ujijibu hili swali lako mwenyewe, manake sijui hata unachouliza ni nini? Asante na wewe

Nadhani jamaa aliyekujibu sio mgwana , aulizaye ataka kujua , jibu ni kwamba hawezi kuzaa tena , kinachofanyika ni kudisconnect kwa kukata mirija, hivyo mbegu haziwezi kusafirishwa
 
shukrani mkuu jibu tosha kabisa hili.tatizo kuna watu wanazan jf ni the same to fb lakini awajui umuhim wa majukwaa yaliyo ndan ya jf kama ili la jf doctor.
 
kuuliza si ujinga kuna mwanamke anasema anayo mimba ya jamaa ,jamaa anasema yeye alifunga kizazi kwa makubaliano pamoja na mkewa wake.kwa wanawake ninaelewa wanafanyiwa opereshen mirija inafugwa au kuchomolewa kbisa kizazi.sasa kwa wanaume ndo niltaka kuelewa isije kuwa jamaa alimzuga mkewe

- umeshindwa kumpa mimba mke wako
- umeweza kumpa mimba nyumba ndogo
ongezea nyama ili uaminike kuwa hujaitunga hii story, je na mkeo alifunga uzazi?
 
Ndugu kwa hospitali zetu hizi unaweza kabisa kumpa mimba mwanamke hata kama ulifunga kizazi. nina mfano hai wa binamu yangu (mwanamke) baada ya kupata shida mimba ya mwisho na kuona ana watoto wa kumtosha aliamua kufunga kizazi wakamfanyia operation ili kumfunga. Hiyo akawa na uhakika hawezi kupata uja uzito. lakini cha kushangaza baada ya miezi sita akapata mimba. sasa hapo tukasema angekuwa mwanaume ndio amefunga angeikataa hiyo mimba lakini yeye hawezi maana ipo ndani ya tumbo lake. Hivyo kuna possibilities kubwa za kuendelea kuzaa na hii ni kutokana na utaalamu wa hospitali zetu.
 
Hii biashara ya mtu kuleta shida zako hapa alafu mnatumia migongo ya jamaa zenu utasikia sijui jamaa yangu,rafiki,shemeji yangu si mfunguke tu kwani anawajua nani humu
 
Ndugu kwa hospitali zetu hizi unaweza kabisa kumpa mimba mwanamke hata kama ulifunga kizazi. nina mfano hai wa binamu yangu (mwanamke) baada ya kupata shida mimba ya mwisho na kuona ana watoto wa kumtosha aliamua kufunga kizazi wakamfanyia operation ili kumfunga. Hiyo akawa na uhakika hawezi kupata uja uzito. lakini cha kushangaza baada ya miezi sita akapata mimba. sasa hapo tukasema angekuwa mwanaume ndio amefunga angeikataa hiyo mimba lakini yeye hawezi maana ipo ndani ya tumbo lake. Hivyo kuna possibilities kubwa za kuendelea kuzaa na hii ni kutokana na utaalamu wa hospitali zetu.

Huyo nadhani Mungu alimua kumuonyesha kuwa alipangalo yeye Hakuna kiumbe yeyote atayepangua!
Hivi kati ya wanyama na bnadamu nani aliyepewa akili na utashi wa kufikili lakin mbona wanyama wanatuzd akili ktk hili'?'?
 
anaweza kumpa nje ya ndoa ila akikutana na mkewe hawezi.....AFICAN SCIENCE

na mm nimemuelewa hivi hivi!!kwa nini asiseme akikutana na mwanamke!!kwa wa nje ya ndoa na ndani ya ndoa upataji wa mimba unatofautiana!!!???
 
jamania ifike mahali tuwe serious, mtu anauliza swali na hajui kweli ila majibu anayopata kutoka kwa baadhi ya wanajamvi ni msumari kabisa wa moto kwake. Nafikir tunapaswa kuvumiliana hata kama kilichoulizwa ni kibaya kwako kaa kimya kuliko kudhihaki na kukejeli.

mtoa mada iyo ishu ni pana sana kwa ufupi huwez ukapata jibu la moja kwa moja
 
Siami na wala sikutegemea kama ningeweza kukutana na swali kama hili kutoka jf member.

Nime amni msemo jf founder kuwa jf now niya watu wote na kila tabaka.

Mtu kafunga kizazi alaf azae.
 
Back
Top Bottom