mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Msaada wadau je ? Amref huwa wanatoa ufadhili kwa wale waliochaguliwa kusomea certificate of nursing and midwifery kwa vyuo vya private especially hivi dini mfano bukumbi nk
Kweli mkuu mbona huwa wanatoa matangazo ya kufadhili especially mwaka jana je ? Na private wanafadhili ?Mkuu amref huwa hawatoi ufadhir wowote huwa n wababaishaji tuu,,wewe jipange