...JD..sitaki kumbuka zamani

Namwona mwana fa yupo nyuma hapo
 
Kijana Habash achakarike kuhifadhi jina la ukoo, huyo demu tasa kashampotezea time.
 
Unapata dhambi sana...kwani ulivyoongea hivyo ndo umejiona mjanga??...hakupenda yy kuto kuzaa ongelea swala lililopo mbona wazitafuta dhambi kwa nguvu ww...

we ndio agent wa kuwagawia watu dhambi hapa duniani ee?
 
Tanuru analolipitia JD ni Mungu mwenyewe mwenye kujua ukali wa maumivu yale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…