JBL Bluetooth speakers

Naitaka hii speaker. Lakin na 25 bei reasonable kabisa.
Hahaha boom box gani laki na 25 wenda sijakuelewa hizo ni milion 1.2 ukinunua bongo kwa Wahindi wa highlife hawa jamaa niuhakika kupata kitu OG kwao ila hizo za laki na 20 sio OG JBL ndogo tu unagusa 200k-300k hivo boom box ni mkasu zaidi mama.

Zingatia kabla hujanunua jua unanunua sio kitu OG kama uko tayari beba kwa 120k kuna jamaa hawa wanaitwa computerbeipoa insta wacheck wanazo.
 
Basi hapa kuna mmoja kati yenu anaongopa!!
Either funzadume muongo, ama Mpombote muongo.

Mpombote unasema inauzwa 1.25 million wakati funza anasema alinunua kwa laki 6.
Hata kama price variation ndio tofauti iwe kubwa namna hiyo!!!
Mie nimeweka mpk picha ninayo ya nimenunua SA hao wengine wamenunua hapa Dar labda maana wabongo wana inflate sana bei madukani kutokana na kodi kuwa juu
 
Basi hapa kuna mmoja kati yenu anaongopa!!
Either funzadume muongo, ama Mpombote muongo.

Mpombote unasema inauzwa 1.25 million wakati funza anasema alinunua kwa laki 6.
Hata kama price variation ndio tofauti iwe kubwa namna hiyo!!!
Sasa ni kweli unashindwa kufahamu kwanini Dar zinauzwa bei hiyo dada?

Kama Radio ya laki 200k ukiingiza bongo kodi inafika hata 90k wale jamaa wa Customs wakikukadiria!! Je,kifaa kama hiko mtu akiingiza bongo kodi itakuwa kiasi gani? + Usafiri+Kodi ya Pango lake+Faida? Je itashindikana vipi wewe kuuziwa hiyo bei.

Na vipi je unaweza kwenda S.A kwa ajili tu ya kununua hiko kifaa kwa 600k na ukarudi bongo zile nauli za go and return vipi na room kule na Cost nyingine 😂😂😂 jamaa hakwenda S.A kununua Radio unajua ila bado akalipia 600k.
funzadume yuko sahihi maana ni bei alonunulia S.A ila mimi naweza nisiwe sahihi ila nimejaribu kukupa data kulingana na uhalisia wa bei za bongo.

Kuna hawa seller wawili nimeona bei zao zinalingana
1.Amaizinglifestyle Tz
2.HighlifeTz

Wako insta wote ukihitaji wacheck kwa mda wako.

Fake pia hizi hapa 120k
 
Mie nilinunua SA tena ilikuwa kwenye maonesho ya vifaa vya kumpyuta. Sikwenda kwa ajili ya hizo speaker nilinunua kwa kuwa nilizielewa sana na nilikuwa natafuta Bluetooth speaker na niliweka uzi kabisa hapa
 
Basi hapa kuna mmoja kati yenu anaongopa!!
Either funzadume muongo, ama Mpombote muongo.

Mpombote unasema inauzwa 1.25 million wakati funza anasema alinunua kwa laki 6.
Hata kama price variation ndio tofauti iwe kubwa namna hiyo!!!
Inaonekana unapenda sana vitu vizuri.

Vitu vizuri gharama mama...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…