GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,421
- 120,743
Huku Nikitoa ONYO Mapema Tu Kwa Wale Mliokuwa Wapenzi Wa KOFFI OLOMIDE Mlipokuwa MKIUSIFIA Wimbo Wa " SELFIE " Wenye Kibwagizo Cha " Ekotitee " Kuwa Siku Ambayo Bingwa Wa Muziki Wa DRC Nzima JEAN BEDELE TSHITUKA MPIANA Akiibuka Mtatafuta Mahala Mjifiche Hamkunielewa.
Ni Muda Mfupi Tu Uliopita JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Ametoka Kuachia ALBUM Yenye Nyimbo Mmoja Mkali Na Mtamu Sana Uitwao CODE MORAL. Inasemekana Baada Ya JB Mpiana Kupakuwa Hiyo ALBUM Koffi Olomide Aliposikilizishwa Tu AKAMPIGIA Salute JB MPIANA.
Katika Hiyo ALBUM Marepa MASHUHURI Namba Moja GENTAMYCINE ANTIBIOTIQUE, Namba Mbili CELLULAIRE, Namba Tatu PAJO Na Namba Nne BIN LADEN Wamefanya VITU VIKUBWA Ambavyo Kwa Hakika VIMEMFUNIKA VILIVYO Koffi Olomide Hadi Sasa Anaomba " PO " Kwa JB Mpiana.
Na Katika Kuinogesha Hiyo ALBUM JB Mpiana Safari Hii Ameamua Kuwashirikisha Wapiga Gitaa La Solo Wake MAARUFU Chipukizi Aitwae Schevchenko Patou Solo Na Burkina Faso Mboka Liya Huku Safari Hii Katika Gitaa La Rhythm Akimrudisha Jembe Liitwalo ALBA ALCOMPA NYERO Na Kumpumzisha Zygal Wakati Katika Drums Akimuacha Yule Yule Bingwa Wa KUKAANGA Chips DRC Nzima Seguin Mignon Maniata Na Katika Gitaa La KUBAHASHIA au Bass Guitar Akiachwa Yule Yule Mkongwe Sunda Bass Le Pro Huku Utamu Wote Wa KINANDA Safari Hii Akiachiwa Geremi Kitubu Asimamie Show Nzima.
Nadhani Sasa Wale MASHABIKI Wa KOFFI OLOMODE Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na Wengineo Sasa MTAIKUBALI Wenge Musica BCBG Yake JB Mpiana Na Siku Nyingine Mwambieni Koffi Olomide Wenu Ashindane Na Wote Ila Siyo WENGE MUSICA BCBG. Itafuteni Hiyo Album MSUUZIKE. Hakika JB Mpiana HAKUKOSEA Alipoiita Bendi Yake Kuwa Ni " Le Equipe Nationale " Yaani TIMU YA TAIFA Kwani Hiyo Bendi IMESHEHENI MAFUNDI WATUPU Na WALIOTUKUKA.
Wana WENGE MUSICA BCBG Wenzangu FURAHINI Sasa Kwani Koffi Olomide Kasalimu AMRI Kwa JB MPIANA.