Tangy afe yule mzee pale nasikia pans mgogoro wa kibiashara Kati ya wamiliki wenza na familia yake, familia nayo imegawanyika , kuna upande unaunga mkono wabia mwingine hauungi, mara huku magoli ya nje nayo yanakuja alimradi kila MTU aonyeshe anaweza fujo, watakuwa wanataka kuseto hii vurumai kwanza halaf warud upya