e bwana mkuu ishu kama hzi ina-bidi uweke katika jukwaa la muziki na burudani au upande wa celebrity mana hapa nadhani ingekuwa vizuri kama hapa jukwaani ingekuwa ni poa kama ungeweka mambo yahusuyo hoja na habari za maendeleo ya nchi yetu yenye matatizo chungu mbovu