Jay Moe, rudi kwenye gemu!

umeongea jema sana. ushaifikiria hiyo colabo couzin? colabo zitakuja tu sema kuna michakato haijakaa sawa ili hamis akuburusishe na ngoma kali feat mandojo na domokaya inaitwa kama zamani. hamis atattisha hata akienda kaburini. baba ubaya wambie mabinti kuwa binamu yao yupo mjini!
 

Great to hear, Najua wewe ndiye FA, thats good, kama ushaanza kufanya ngoma na watu mandojo ka domo kaya ni vema, sikumbuki sana kama hujawahi kufanya nae, but kwa vyovyote nawakubali sana wale jamaa Mandojo na Domo kaya hata hivyo kuchanganya na kizazi hiki cha sasa cha kina Platinumz please let mmoja wao awepo kwenye hiyo ngoma najua kwa sababu the main objective is business, basi mtafikia malengo kwa sababu mtakuwa mgegusa wale wa old skul yaani mashabiki wa akina Jaymo, East coast team, langa, dudu etc na new skul kwa maana ya mashabiki wa kina ben paul, lina, Ommy dimpoz etc!

Naamini wewe umekwenda shule so ifike wakati wasanii wapate matunda ya shule ya msanii mwenzao japo kwa % chache!!
 
mimi khamis sikuelewi mpaka ulete radha zile za zamani zile za tuliza boli, alikufa kwa ngoma, ungeniambia, dirisha la misuko suko (sina hakika kama inaitwa hivyo maana nimeutafuta sana huu wimbo umekosa), hawajui halafu kuna ile kitu ilinifanya nimsome sana makochali inaitwa binamu, khamis uliua na ile beat ilikuwa hot.
Namiss radha hizo za kitambo kwangu siku hizi naona kama umeanza pwaya coz umebadilika.
 
Game kweli inabadilika yaani wale mashabiki wa jay moe leo ndo wanakimbiza katika game!...hizi takataka sijui roma,chid benz,izzo wote ni mashabiki wa jay moe!...kaka yao mwanaFA alishakiri hadharani atamuomba Jay Moe amtungie wimbo miaka hiyo hii ni baada ya kuandamwa na kashfa ya kuiba idea ya mwenye mji wa mzizima Jay Moe,wimbo wa Mabinti na kukimbilia studio kwa bonny luv!...
 
Kama unaubongo mdogo lazima umdis Fid Q huku J.moe mwenyewe anamkubali Fid. Ni jambo la kumshukuru Mungu Fid na J.moe wako Bongo hawa jamaa wanajua

Mkuu upo sahihi sana tu.. Fareed inahitaji utulize ubongo kumuelewa, mara nyingi huwa napenda nimsikilize nikiwa sana stress. Ukisikiliza hp hop tuliza kichwa sio kama taarabu.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Jamaa anauwezo sana ila hana bahati...nikikumbuka ngoma zake...eti kisa mtoto wa mama wananiita bishoo, kuna hii ya kimyakimya...ndio maana nikitaka kusikiliza bongo fleva ni za zamani tu.!!!
Nilifikiri ni mimi tu ninayependa hip hop ya bongo ya miaka ya mwanzoni, kumbe tuko wengi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…