beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,813
- 2,809
Okocha alikuwa na mbwembwe za kufurahisha macho tu lakini alichokuwa akifanya hakikuwa na impact kwenye timu alizochezea ndio maana timu kubwa hazikumtolea macho.
Mbona George Weah aliutikisa ulimwengu wa soccer pamoja na kuwa alikuwa raia wa Liberia?
"you are entitled to your own opinions NOT your own facts"
Okocha alikuwa na mbwembwe za kufurahisha macho tu lakini alichokuwa akifanya hakikuwa na impact kwenye timu alizochezea ndio maana timu kubwa hazikumtolea macho.
Samahani sikuwepo humu tangu nipost hiyo comment. Ndiyo Weah aliutikisa ulimwengu lakini wangapi wanamkumbuka au kumjua Weah hivi sasa kama wanavyomkumbuka Louis Ronaldo, Rivaldo duniani? Jina la Okocha linafifia katika medani ya Soka hasa EPL ukilinganisha na Makelele na Vieira (ambao position zao zilibatizwa majina yao) kuna kipindi watangazaji walikuwa wanasema Makelele position au Vieira position na hii ni baada ya kustaafu. Unafikiri Makelele na Vieira wangezichezea nchi zao wangejulikana kimpira kama wanavyojulikana hivi sasa? Mtu mwingine pamoja na uzuri wake kimpira duniani bado hathaminiki na itakuwa vigumu kumkumbuka baada ya kustaafu ni Samuel Eto'o. Nadhani nimekujibu vizuri.