Jay jay okocha

Jay jay okocha

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
2,022
Reaction score
1,065
Kama kuna mchezaji wa afrika mwenye sifa za kucheza na mpira apendavyo basi Mimi ningempa Austin jay jay okocha ni mchezaji wa kiungo pekee ktk bara letu la Africa aliyekuwa na uwezo pekee wa kusakata kabumbu nakumbuka alipokuwa anacheza kipindi kile kila mtu alikuwa anataka kuona atakuja na style gani, thumb up if you agree kwa shujaa huyu wa Africa.
 
Inabidi iwe jukwaa la Sport hii habari
 
Ukisikia kuzaliwa na kuchezea wrong country ktk ulimwengu wa soka ndo huku. Okocha kafanya mambo makubwa kabla ya kina Ronaldinho kujulikana lakini hasifiki , hakubaliki wala kukumbukwa na wengi. Naamini kama kina Claude Makelele(Makalele) na Patrick Vieira wangechezea nchi zao (DR Congo na Senegal) wasingesifika kama walivyosifika na kuendelea kusifika hivi sasa.
 
Mbona George Weah aliutikisa ulimwengu wa soccer pamoja na kuwa alikuwa raia wa Liberia?

"you are entitled to your own opinions NOT your own facts"
 
Ukisikia kuzaliwa na kuchezea wrong country ktk ulimwengu wa soka ndo huku. Okocha kafanya mambo makubwa kabla ya kina Ronaldinho kujulikana lakini hasifiki , hakubaliki wala kukumbukwa na wengi. Naamini kama kina Claude Makelele(Makalele) na Patrick Vieira wangechezea nchi zao (DR Congo na Senegal) wasingesifika kama walivyosifika na kuendelea kusifika hivi sasa.

Okocha hakutendewa haki, ni mchezaji adimu na wakipekee kabisa hapa duniani.
 
Unanikumbusha clip za jamaa anakupiga chenga hadi unaanguka na kuteguka nyonga,then alipokuja Zidane akachukua chenga zilezile na kuziongozea utamu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Namzimia sana okocha ni mchezaji bora ktk bara letu la afrika.
 
Mkuu umenikumbusha hilo jembe la soka.Kwa kweli jamaa nilikuwa namkubali katika soka
 
Na bado nasubiri majibu Mkuu

Huwezi pata jibu hapo...
Hao mi nawaitaga wazee wa kulialia...
Okocha alikuwa ni mchezaji mwenye msaada wa kawaida sana uwanjani na ndo maana hakuwahi kucheza timu kubwa na zenye kuhitaju mataji German, France na hata Uingereza.
Aliishia kuwafurahisha washabiki tu kisha mwisho wa msimu timu inakuwa inashika nafasi ya 10...
 
Labda wangemzungumzia Makelele ningeweza kuchangia kwa undani zaidi..... Makelele ni aina ya wachezaji ambao wanamchango mkubwa katika timu, lakini ni watu wachache sana walio ona mchango wake wakati akisakata kabumbu!
 
Huwezi pata jibu hapo...
Hao mi nawaitaga wazee wa kulialia...
Okocha alikuwa ni mchezaji mwenye msaada wa kawaida sana uwanjani na ndo maana hakuwahi kucheza timu kubwa na zenye kuhitaju mataji German, France na hata Uingereza.
Aliishia kuwafurahisha washabiki tu kisha mwisho wa msimu timu inakuwa inashika nafasi ya 10...

Baelezee mzee mwenzangu, jamaa alikua mtu wa mbwembwe nyingi zisizo na akili uwanjani, wa kawaida sana. Watu wa kumfananisha nae ni kina Alexander Song, Djemba Djemba labla na Ndiefi
 
Unanikumbusha clip za jamaa anakupiga chenga hadi unaanguka na kuteguka nyonga,then alipokuja Zidane akachukua chenga zilezile na kuziongozea utamu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Zidane anasema mwenyewe kuwa ameiga ma skillz kibao ya Okocha
 
Mbona George Weah aliutikisa ulimwengu wa soccer pamoja na kuwa alikuwa raia wa Liberia?

Tena hata Africa yenyewe huyu JJ Okocha hajawahi kupewa tuzo, je inamaana hakua Muafrika? Jamani mpira ni zaidi ya kuuchezea ndio maana unapata tofauti kati ya football free style na kabumbu lenyewe, kwa kuangalia je Okocha amechezea timu gani kubwa ukiiondoa PSG? Je kwa kipindi chake Weah, De Lima, Rivaldo, Zidane au Ronadinho nani unahisi hakustahili ili tumiweke Okocha?
 
Back
Top Bottom