kholo JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 413 Reaction score 76 Jun 11, 2014 #1 Habari zenu wanajamvi, natumai muu wazima bukheri wa afya. Kama nilivyoorodhesha hapo juu nimekuja kwenu kuomba kujuzwa sehemu nitapoweza kupata short course nilizoziorodhesha hapo kwenye title bei pamoja na muda wake kwa kila course. Ahsanteni
Habari zenu wanajamvi, natumai muu wazima bukheri wa afya. Kama nilivyoorodhesha hapo juu nimekuja kwenu kuomba kujuzwa sehemu nitapoweza kupata short course nilizoziorodhesha hapo kwenye title bei pamoja na muda wake kwa kila course. Ahsanteni
N Nyasiro JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,201 Reaction score 551 Jun 11, 2014 #2 Unaweza usizipate zote kutoka sehemu moja. 1. hosannahighertech.co.tz 2. UCC
cerengeti JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 3,879 Reaction score 1,634 Jun 11, 2014 #3 Unaweza ukajifunza kwa video. Kuna it video training nyingi. Nina training za Java, android application, Cisco, comptia, msce n.k. Napatikana 0767102102. email; wigotz@gmail.com
Unaweza ukajifunza kwa video. Kuna it video training nyingi. Nina training za Java, android application, Cisco, comptia, msce n.k. Napatikana 0767102102. email; wigotz@gmail.com
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Jun 11, 2014 #4 ucc kozi huwa laki tatu kwa miez 3 ila kuna jamaa zangu huwa wanafundisha wako dar