JAVA expert, ready to help!

JAVA expert, ready to help!

View attachment 30369

Kwa wale watakao taka kuhariri hiyo michoro nimeambatanisha Bank Application StarUml project. Kuifungua unatakiwa uwe na StarUml

Mchoro unapatikana kwenye "Diagram Explorer-> Class Diagrams->Main"

StarUML 5 StarUML - The Open Source UML/MDA Platform

Mkuu though am not fully participating sababu nina nina some issue nyingine . nafuatilia hii training kwa karibu na kujifunza

big up sana

BTN

Nina maswali kuhusu credit card application
-Je hii ni sawa na debit card application?
-
Sina utaalam na mambo ya finance je tofauti ya debit card na credit card ni nini ?
-Kwa nini hakuna Class diagram ya kuonyesha debit card application?
 
Mkuu though am not fully participating sababu nina nina some issue nyingine . nafuatilia hii training kwa karibu na kujifunza

big up sana

BTN

Nina maswali kuhusu credit card application
-Je hii ni sawa na debit card application?
-
Sina utaalam na mambo ya finance je tofauti ya debit card na credit card ni nini ?
-Kwa nini hakuna Class diagram ya kuonyesha debit card application?

Ukisoma utangulizi wa hii project (Mradi) unaweza kuona tofauti ya hizo kadi mbili.

Mteja wa kampuni ya credit card ufungua akaunti kama unavyofungua akaunti ya benki. Akaunti hiyo inakuruhusu kutumia na kutoa pesa ambazo haujaziweka kwenye akaunti na utatakiwa kuzilipa mwisho wa mwezi. Kila akaunti huwa na kikomo cha matumizi (credit limit) mfano Tsh. 2,000,000. Kila unapo fanya muhamala (transaction) mfano kununua bidhaa kwa kutumia credit card au kutoa pesa kwenye ATM kampuni husika utoza tozo (Charge) la matumizi. Ukinunua bidhaa tozo linaweza kuwa mfano 3.5% ya pesa uliyotumia na ukitoa pesa kwenye ATM tozo ilinaweza kuwa mfano 10% ya pesa ulizotoa. Ikifika mwisho wa mwezi kampuni ya credit itakutumia bill yako na itabidi ulipe stahili (total due) isiyopungua kiwango cha chini cha malipo (minimum payment). Mfano umetumia Tsh. 1,000,000 na kiwango cha malipo cha chini ni 10% ya matumizi, itabidi ulipe stahili isiyopungua Tsh. 100,000 na isiyozidii Tsh. 1,000,000. Kampuni hizi uongeza faida(riba) kwenye kiasi unachodaiwa kila mwezi, mfano ulitumia Tsh. 1,000,000 na ukalipa (payment) 200,000 ukabaki na deni la Tsh. 800,000, katika hili deni kampuni ya credit itaongeza riba mfano riba ni 20% deni lako jipya (salio jipya) litakuwa ni Tsh. 960,000
 
Hii project ya Bank nategemea kuifungulia thread nyingine alafu thread hii itahusiana na maarifa ya Java tu.
 
mkuu kama unaijua java basi lazima utakuwa unajua na C pia ,manake java imetengenezwa juzijuzi tu miaka ya 95 kutoka kwenye C.Pia kama unaijua C basi lazima utakuwa unajua pia C++,manake C++ imekuwa derivered kutoka kwenye C language
Kwa kifupi Java na C++ wote wanatoka kwa C.Tofauti na programming language nyingine Java ni 100% object oriented programming language alafu inaweza kufanya kazi kwenye operating system ya aina yeyote ile(its platform independent),lakini hizo C/C++ ni fifty fifty yaani nusu procedural,nusu object oriented
Hata hivyo java ni rahisi unapoilinganisha na C++ au C.Lakini ni most powerful kuliko programming language zote nazozijua,otherwise big up
kwa kuongezea c na c++ tofauti yake kubwa ni features za object oriented program zilizopo kwenye c++, most of the rest things are the same as c. JAVA haina tofouti sana na c++ ila imefanywa kuwa rahisi, powerful and more secure kuliko c++ .
 
Mimi ni mjasilia mali tu, lugha yoyote inalipa kutukana na mradi unaoufanya. Siri ya kujua programming ni ndogo sana unachotakiwa ni kufanya mazoezi mengi tu, programming ni kama hisabati ili ujue hisabati unatakiwa kufanya mazoezi na programming ni hivyo hivyo.

Information hiding (encapsulation) : Sio dhana ngumu kivile, ukitumia mifano ya maisha yetu ya kila siku inakuwa rahisi kuielewa.

Array ni data type ambayo inahifadhi data za aina moja tu.

Garbage Collection: Ni dhana tu, unatakiwa kuelewa inafanyikaje basi lakini kama Java programmer hautaandika code za kufanya garbage collection, inafanywa na JVM/JRE moja kwa moja.
MIMI NINASHIDA
 
OYA
kwa kuongezea c na c++ tofauti yake kubwa ni features za object oriented program zilizopo kwenye c++, most of the rest things are the same as c. JAVA haina tofouti sana na c++ ila imefanywa kuwa rahisi, powerful and more secure kuliko c++ .
 
Back
Top Bottom