JAVA expert, ready to help!

Usanifu:
OOD, Design Patterns => GoF

Zana:
StartUML
NetBeans
JBoss4.2.3 /Glassfish 2.1/3

Implementation:
Database: MySQL
Data access layer: ORM=> Standard JPA via TopLink or hibernate
Business Logic Layer: Java/JEE, Seam Framework
Presentation layer: Application client => Java Swing, Web client => JSF,Facelet

Muda ukiiwepo tutangalia Jasper Report (iReport)

Mradi nitakao usanifu utahusu mfumo wa kifedha (Financial System). Wadau wanaweza wakapendekeza mradi mwingine pia.

The breakdown itself is sound because you are planning to show a complete system build. Hata kama experience ya watu in Java haipo, but wanaelewa programming from other languages, wataweza kufuatilia somo na kujiendeleza wenyewe wanapoona pana upungufu. Tutorials kama hizi ambazo zinazamia full shule in bringing together technologies ni chache sana na tunatarajia kujifunza mengi hapa.

imho, wewe anza tu, kama unaona video haitakuwa ok for private reasons basi please angalia mifano hai ya paper lesson writing from example from this site na ukifuatilia hii format basi, mwanafunzi anaweza kujisomea mwenyewe na maswali yatakuwa ya heshima...
But don't shy away from video, believe me, it is the best vehicle to teach techy subjects.

One thing I will suggest though is the JF to create a sub-forum in the IT section for this types of contributions kwani, as you may know top/down forums not the best systems to retain knowledge, contributions nyingi hupotea in the depths of the archives never to be seen again, an not mentioning the "noise" in JF. In those subforums, a main topic/lesson will not have any allowable contributions to the thread itself, lakini secondary threads with the same title as the lesson/tutorial notes prefixed with say "Comments: XYZ" can be the place watu wanachangia/kuuliza maswali. (I think this is for the mods to implement for us).
 
Uislam kwanza, Tanzania inafuata, Vyama vinafuata baadae

Je mkristu na upagani tutakuwa wa ngapi ? Teh teh teh teh teh .
Niwe muwazi signature yako haiko sawa. Ingawa lengo lako linaweza kuwa zuri may be...........
 
Je mkristu na upagani tutakuwa wa ngapi ? Teh teh teh teh teh .
Niwe muwazi signature yako haiko sawa. Ingawa lengo lako linaweza kuwa zuri may be...........
Signature yangu haisemi, muislamu kwanza, jaribu kutofautisha muislamu na uislam. Uislam ni mfumo kamili wa kimaisha. Kuna mifumo mingi sana ya kimaisha duniani na kila mtu yuko huru kufuata mfumo anauona unamfaa. Tanzania iliwahi kuwa muumini wa mfumo wa ujamaa. Je nikosa kuishi maisha yanayofuata mfumo wa uislam?
Pili hatuko hapa kujadili signature za watu, hayo ufanyika jukwaa la siasa.
 
I'm a growing expert in Java,though i can't help that much for now but i will be visiting for getting some lessons and ideas from this thread as well!
 
Signature yangu haisemi, muislamu kwanza, jaribu kutofautisha muislamu na uislam. Uislam ni mfumo kamili wa kimaisha. Kuna mifumo mingi sana ya kimaisha duniani na kila mtu yuko huru kufuata mfumo anauona unamfaa. Tanzania iliwahi kuwa muumini wa mfumo wa ujamaa. Je nikosa kuishi maisha yanayofuata mfumo wa uislam?
Pili hatuko hapa kujadili signature za watu, hayo ufanyika jukwaa la siasa.

Samahani kama nimekosea lakini sio sahii kusema signature sinajadiliwa wenye siasa. sigature iko visible mahali popote .mi siwezi kufumba macho nisione signatureyamtu.

Ina maana we ukiona avatar ya mtu hapaama una swali utashindwa kuuliza mpaka uione kwenye siasa .

But samahni kwa kuvuruga thread teacher.Nimekusoma tundelee
 
Wazee wa JAVA, naomba links za free reporting tools nzuri kwenye Java, nataka nitumie kwenye web app yangu ya Servlet na JSP. Natanguliza shukurani za dhati. Mzee Dubo shule inaanza lini? Ninasubiri kwa hamu
 
Hellow!! An a new JF member,and also new 2 JAVA programing language,kwanza naomba unisaidie mambo kidogo.
1. How many special clases are in Java?
(i) And among those classes whicha are Standard classes and which are not Standard classes?
(ii) In which package are they found?
(iii) List down 5 methods and 5 data member or consist (if any)
(iv) write a single program (standard class) i.e a simple one
Thank you in advence
 
If that is a class assignment then you are cheating dude
 
is that your help???
Tafuta majibu ya hayo maswali kwanza mwenyewe . Alafu lete maswali na majibu yake . then muulize mtaaalam kama hayo majibu uliyokusanya ni ya kweli. Hapo ndo utakuwa umeelimika.

Maswali yamekaaa kidarasa darasa. Use google and internet wisely. show u have done something about those questions.

Na kama wewe ni new umeinstall program gani unayotumia kufanya practice au ndo unasoma programmming kwa notice tu?
 
Hellow!! An a new JF member,and also new 2 JAVA programing language,kwanza naomba unisaidie mambo kidogo.
1. How many special clases are in Java?
(i) And among those classes whicha are Standard classes and which are not Standard classes?
(ii) In which package are they found?
(iii) List down 5 methods and 5 data member or consist (if any)
(iv) write a single program (standard class) i.e a simple one
Thank you in advence

For a complete list of java classes, packages and methods visit this siteJava 2 Platform SE 5.0
The question you have raised will not help you to learn Java. Java is a totaly OO programing language. You write a program by creating objects and invoking their methods. Java have classes, interfaces and abstract classes, all these are standard classes. Non standard classes are those which you create on your own during progamming.

A simple java class look like;

public class vehicles {
double capacity; //This is the comment
int tyres; // a varible to hold number of tyres
String steering; // a variable to hold the side of steering can be left or right
final numberofsteering =1; // just to show you how constants are declared in java basically you dont need to decalare this because all vehicle //of 1 steering.

/* After declaring a varibles you can have a series of methods getter and setter methods and many more. You objects of this class will use these methods to interact with one another and other objects of other classes*//

public void setTytes (int t}{
tyres =t;
}
/* after methods uou need a main method*/
//Sorry i'm running out of time....subiri somo la dubo
}
 
Tafuta majibu ya hayo maswali kwanza mwenyewe . Alafu lete maswali na majibu yake . then muulize mtaaalam kama hayo majibu uliyokusanya ni ya kweli. Hapo ndo utakuwa umeelimika.

Maswali yamekaaa kidarasa darasa. Use google and internet wisely. show u have done something about those questions.

Na kama wewe ni new umeinstall program gani unayotumia kufanya practice au ndo unasoma programmming kwa notice tu?

thank you for your advice,seriously am new in java programming kabisaa,its true nasoma na hiyo ni assignment ya kwanza baada ya mwalimu kupiga lecture 2,ambazo hajafundisha vitu hizo!! Atleast ungetoa idea ya wapi nitapata materials ya kujifunza JAVA nikaelewa zaidi badala ya kutoa maelezo ambayo hayasaidii kunipa jibu la kile nikitakacho! Haya mwishoe ukaniuliza swali la ajabu,haya natumia NetBeans IDE version 6.9.1. Nashukuru kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi,Ubarikiwe sana!!
 
For a complete list of java classes, packages and methods visit this siteJava 2 Platform SE 5.0
The question you have raised will not help you to learn Java. Java is a totaly OO programing language. You write a program by creating objects and invoking their methods. Java have classes, interfaces and abstract classes, all these are standard classes. Non standard classes are those which you create on your own during progamming.

A simple java class look like;

public class vehicles {
double capacity; //This is the comment
int tyres; // a varible to hold number of tyres
String steering; // a variable to hold the side of steering can be left or right
final numberofsteering =1; // just to show you how constants are declared in java basically you dont need to decalare this because all vehicle //of 1 steering.

/* After declaring a varibles you can have a series of methods getter and setter methods and many more. You objects of this class will use these methods to interact with one another and other objects of other classes*//

public void setTytes (int t}{
tyres =t;
}
/* after methods uou need a main method*/
//Sorry i'm running out of time....subiri somo la dubo
}

Thank you. Nabonyeza kitufe cha ''thanks'' very soon,nashukuru kwa kunielewesha nilikua nahitaji mwanga wa kujibu maswali yangu hapo juu na nashukuru kwa msaada wako. Umesema hii haitonisaidia kujua Java,samahani naomba unieleweshe mie beginer kwa hii Java Programming nini haswa nifanye ili ni iweze niwe atleast kama wewe? Nipo tayari kuwa mwanafunzi! ''Kuuliza sio ujinga'' na ''asiyeuliza hanalo ajifunzalo'' nashukuru kwa msaada,Ubarikiwe sana!
 
thank you for your advice,seriously am new in java programming kabisaa,its true nasoma na hiyo ni assignment ya kwanza baada ya mwalimu kupiga lecture 2,ambazo hajafundisha vitu hizo!! Atleast ungetoa idea ya wapi nitapata materials ya kujifunza JAVA nikaelewa zaidi badala ya kutoa maelezo ambayo hayasaidii kunipa jibu la kile nikitakacho! Haya mwishoe ukaniuliza swali la ajabu,haya natumia NetBeans IDE version 6.9.1. Nashukuru kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi,Ubarikiwe sana!!

Mkuu soryy naweza kukukera lakini nadhani nataka uptae njia sahihi ya kusoma. Hata mwalimu aliyekupa swali angeweza kukuambia kapate majibu sehemu fulani. But kwa kuwa antaka uelimike anataka wewe mweneywe ufikirieshe akili yako wapi waweza kupata majibu. Ndio maana nilisema ni bora wewe ungesema umefanya nini so far watu waongezee. au wakwambie ungeeda hapa na pale na sio huko.

Kuna hii website Computer Science | Video Courses on Academic Earth kuna full course za computer scince na lecture za video.
Unaweza kuzidowload hizo lecture kwenye youtube na kuziweka kwenye DVD then ukawa unatazma hata paleunappokuwa huna net

Mfano lecture no 2 ya STANFORD university computer scince programming hii hapa ziko lecture 28 free to downlaod

NB:
NImeruka video ya kwanza sbabu lecturer anaongele zaidi jinsi course hiyo ilivyo , maksi, test na mambo kama hayo . Ukiamua unaweza kucheki.

Ukidowload video zote na kuziweka kwenye DVD yako then ukawatumia mtaalam kama huyu Dubo kuuliza pale ambapo hukuelwa utakuwa programmer wa kutisha. Mi wakati nasoma sikujua kama hizi resouces zilikuwepo labda ningekuwa programmer mkali. Na kabla ya kuuliza jibu always jaribu kuonyesha umefanya nini then wataalam wakukosoe na kuongezea.

Ndio maana nakushauri njia sahihi ya kuwa programer bora. Sorry anyway

na kama wewe ni beginner kabisa kabla ya prograaming unatakiwa upate concept kama hii http://academicearth.org/courses/introduction-to-computer-science-and-programming.

Pia hata hizi video zake ziko youtube.

Hope hutapita njia tulizopita sisi na kuishia kufaulu tu . Na mm jamaa dubo amenisaidia kufuaua japo kidogo elimu duni niliyonayo juu ya prgramming. ukifuatilia thread hii nyuma unaweza kuona. Sio kwamaba mm ni mtaalam
 
Last edited by a moderator:
Thank you. Nabonyeza kitufe cha ''thanks'' very soon,nashukuru kwa kunielewesha nilikua nahitaji mwanga wa kujibu maswali yangu hapo juu na nashukuru kwa msaada wako. Umesema hii haitonisaidia kujua Java,samahani naomba unieleweshe mie beginer kwa hii Java Programming nini haswa nifanye ili ni iweze niwe atleast kama wewe? Nipo tayari kuwa mwanafunzi! ''Kuuliza sio ujinga'' na ''asiyeuliza hanalo ajifunzalo'' nashukuru kwa msaada,Ubarikiwe sana!

Kabla ya kwenda kwenye mambo ya prgraming language ( C, C#. Java, etc ) kwanza inabidi ujifunze pia programming Logic

I mean ujue basic ya programing zte zikoje mfano every progarm lazima iwe na mambo ya

Mwanzo( Start)- kwenye coding sasa ndo unakuta Java inaanza na may Pulblic class Main() . , C yenyewe ina main () kama sikosei

  • Condiation/ Decision- Mammbo ya If , Else If, While etc -inabidi ujue logic ya haya maneno
  • Initialization na declaration-
  • variables
  • data types
  • String
  • Array
Haya mambo ni basic kwenye kila program ila kwenye implimentation ndo yanatofautiana so inabidi ujue concept zake.

Nina kitabu kizuri sana kwa anayepda kuanza kujifunza programming tatizo nikwamba kinatumia C so kama uko tayari kujifunza kwa C naweza kukuwekea electronic copy. kitabu kinaitwa Lets C
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri, nitayafanyia kazi mambo uliyoniambia!! nimetokea kuipenda sana JF inanielewesha mambo mengi ambayo nilikua siyafahamu hapo mwanzoni, kila siku iendayo kwa Mungu napata kitu kipya ambacho kinanisaidia katika maisha yangu ya kila siku na kwa hili nawashukuru sana wanajamii wenzangu kwa threads zenu ambazo zinanitia moyo wa kupambana sana!!
nitajaribu kudownload hizi video maana sidhani kama leo Modem yangu hii ya tiGO kama itakua na bundle za kutosha,nakushukuru sana!!!
 
Asante sana, mimi kama mwanafuzi lengo langu ni kujifunza, nilisoma C kidogo mwaka jana nakumbuka hayo mambo uliyoyasema hapo juu sasa nilikua naomba nikuulize swali kidogo... hichi kitabu ulichosema ni cha C je kinaweza kunisaidiia kwenye kujifunza hii JAVA? na kama jibu ni ndio basi ningependa unifanyie utaratibu nikipate, Lengo langu sio kufaulu darasani tu bali nataka nielewe jinsi hizi Programing languaje zinavyofanya kazi (kwa vitendo),nipo tayari kujifunza!!! asante sana....
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri, nitayafanyia kazi mambo uliyoniambia!! nimetokea kuipenda sana JF inanielewesha mambo mengi ambayo nilikua siyafahamu hapo mwanzoni, kila siku iendayo kwa Mungu napata kitu kipya ambacho kinanisaidia katika maisha yangu ya kila siku na kwa hili nawashukuru sana wanajamii wenzangu kwa threads zenu ambazo zinanitia moyo wa kupambana sana!!
nitajaribu kudownload hizi video maana sidhani kama leo Modem yangu hii ya tiGO kama itakua na bundle za kutosha,nakushukuru sana!!!

Ohh basi kama unatumia modem nadhani sio njia nzuri but ukipata nafasi tafuta net zenye nguvu alafu unalipia nusu saaa au one hor unadowload japo video mbili au tatu kwa siku. Hizi video ni lecture ya kama 50 min kila moja so ni bandwidth kubwa sana.

Unaweza kucheki na hiki kitabu ingawa ni cha C kitakupa concept nzuri sana za programming
http://rapidshare.com/#!download|541l3|172131354|Let_Us_C_-_Yashwant_Kanetkar.pdf|7207
au hapa
Download Let Us C - Yashwant Kanetkar.pdf Torrent - KickassTorrents.com

Kama ulisoma C na kuelewa concept zake basi una base nzuri

But subiri mtaalam zaidi naweza kukupotosha sana nachokuambia nadhani kinafaa but sababu na mm sio comptente sana dont take my words kama only information ya kufanya decision zako. Yatilie maanani tu yachanganye na ya wataalam wengine
 
Thank you. Nabonyeza kitufe cha ''thanks'' very soon,nashukuru kwa kunielewesha nilikua nahitaji mwanga wa kujibu maswali yangu hapo juu na nashukuru kwa msaada wako. Umesema hii haitonisaidia kujua Java,samahani naomba unieleweshe mie beginer kwa hii Java Programming nini haswa nifanye ili ni iweze niwe atleast kama wewe? Nipo tayari kuwa mwanafunzi! ''Kuuliza sio ujinga'' na ''asiyeuliza hanalo ajifunzalo'' nashukuru kwa msaada,Ubarikiwe sana!

Ukiwa kama mimi haitakusaidia, kwa sababu mimi mwenyewe nahitaji kujifunza zaidi na zaidi. Ukijua java ina class 230, na method 600 itakusaidia nini? sidhani kama kuna programer yeyote ambaye anajua packages na classes zote za java ziko ngapi. Ila unajifunza pale unapotaka kufanya kitu flani. Kwa mfano ukitaka ku add session kwenye application yako, unatafuta ni namna gani, then unakuta class ambayo inakusaidia kufanya hivyo. Katika forum kama hizi si rahisi kujifunza kutoka zero to somewhere. you need first to understand the basic concepts, the unauliza nataka kufanya kitu fulani nifanyaje? ndo unaelekezwa. unaona mimi nilikuwa nataka kuweka reporting tools kwenye ki application changu nimesaidiwa link....nikishindwa kuzitumia nasema nimefanya hivi na hivi then lakini sijafanikiwa ni wapi nimekosea?

Mwalimu wangu wa kwanza wa programming alikuwa anaitwa Funajivu UDM (siyo spelling sahihi), yeye siku zote alikuwa anasisitiza ukija kwangu usiniambie hujui kitu, ila sema unachojua na umeshindwa kufanya nini! The same phisophy applies here. Tafuta vitabu na links usome at least basic syntax. Wengine tunategemea kutumia hii tread very seriously kujifunza so tafadhali msifanye jokes. Dubo please anza darasa bwana... i realy need to learn tricks and how to's from experts. Dont start with the basic please there are alot of materials which teachs basic java programming on the net. Nilikuwa najaribu ku appload kitabu cha teach yourself java for 21 days lakini kime fail ku appload. Anayetaka anipe address yake nitamtumia kwenye CD. Kina all the basics that a begginer needs......
 
Back
Top Bottom