'..Inawaka moto,inawaka moto dunia, ulimwengu waungua bila kujijua..,habari zisikikazo mwanzo wa siku hadi mwisho,niza kusikitisha.., hata pale wenye madaraka walipokutana kutafuta ufumbuzi,mwisho wakakorofishana..,wanyongé wanaliaa..' Duh, kijana alikuwa ni mtunzi na manamziki mahili..hiyo tepu niliinunua dodoma mwaka 1995 wimbo unaitwa inawaka moto dunia.Sijui kama kuna cd za Justine R.I.P ?