Jastine kalikawe alikua anakuja juu sana ktk anga ya muziki wa reggae hapa nchini,

Justin Kalikawe, alikufa kwa kuamini sana imani za kirasta, aliugua akakataa kwenda hospital, akawa anatumia dawa za asili tu, alizidiwa mpaka umauti unamkuta, kwa kutetea msimamo wake wa kutokwenda hospital..
R.I.P KALIKAWE!

Aliugua Ugonjwa gani?
 
'..Inawaka moto,inawaka moto dunia, ulimwengu waungua bila kujijua..,habari zisikikazo mwanzo wa siku hadi mwisho,niza kusikitisha.., hata pale wenye madaraka walipokutana kutafuta ufumbuzi,mwisho wakakorofishana..,wanyongé wanaliaa..' Duh, kijana alikuwa ni mtunzi na manamziki mahili..hiyo tepu niliinunua dodoma mwaka 1995 wimbo unaitwa inawaka moto dunia.Sijui kama kuna cd za Justine R.I.P ?
 
Justin Kalikawe, alikufa kwa kuamini sana imani za kirasta, aliugua akakataa kwenda hospital, akawa anatumia dawa za asili tu, alizidiwa mpaka umauti unamkuta, kwa kutetea msimamo wake wa kutokwenda hospital..
R.I.P KALIKAWE!

Naamini maneno yako, kuna hoteli moja hapo Bukoba mjini nilikuwa nafanya kazi enzi hizo, Kalikawe alipenda sana kula hapo hotelini na mara zote nilizomuona alikuwa anakula wali/ndizi na mchicha au maharage tu. Hakuwahi kula nyama wala samaki!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom